Diamond atajwa mtanzania pekee kwenye list ya 100 most influential young africans

Acha uongo, utimu usikufanye hadi unapotosha habari, kwenye hiyo top 100 wabongo wapo zaidi ya mmoja acha mihemko

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Wewe ndo una mihemko habari hii ilikua february leo august braaa vipiii

Xmass Boy.
 
hayo ma timu hayana mapango

unakuta jitu linapanic kisa humpend DOMO au kibakuli.
 
Aiseee watu wanachanganya madawa yanawatoka mapovu
 
Hii ni ya kipindi hit song ni number one
 
Acheni kupotosha bwana... Mbona Jokate na Millar Ayo wametajwa.
 
Ina maana hawa nilio waona kwenye list ni wako kwenye category ipi?
Diamond
Ali kiba
Jokate
Lulu AKA Diana Elizabeth Michael
Nancy Sumari
Millard Ago
Flavian Matata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kanumba hayumo

sent by mwenyewe
 
Acha uongo, utimu usikufanye hadi unapotosha habari, kwenye hiyo top 100 wabongo wapo zaidi ya mmoja acha mihemko

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Mkuu umeangalia hiyo sired ni ya tarehe ngapi? Au unatoka povu tu?
 
Ina maana hawa nilio waona kwenye list ni wako kwenye category ipi?
Diamond
Ali kiba
Jokate
Lulu AKA Diana Elizabeth Michael
Nancy Sumari
Millard Ago
Flavian Matata

Sent using Jamii Forums mobile app
Team hazijawahi kuacha watu salama,yani akili zote umeweka mfukoni mkuu.post ya kitambo hiyo
 
Acha uongo, utimu usikufanye hadi unapotosha habari, kwenye hiyo top 100 wabongo wapo zaidi ya mmoja acha mihemko

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Kabla hujavuka barabara angalia kulia na kushoto. Angalia tena kulia ndio uvuke. Utagongwa
 
Mwanaume atagongwaje? Acha genye tuliza mshono

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume atagongwaje? Acha genye tuliza mshono

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Ahahahaaaaa akili zako ndio zimeishia hapo. Kwan gari likigonga mtu linachagua huyu ni mwanaume haligongi?
 
Mwanaume atagongwaje? Acha genye tuliza mshono

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
bro dada yupo sahihi kukuambia utagongwa,maana unakosea kanuni za kuvuka barabara...nazani umelijua kosa lako ndo mana umepanic sn,ucjali kila mtu alishawahi kukurupuka ktk maisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…