Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
Nilichokuja kugundua hii Michezo ya kubet na Kampuni hizi ni za mtu mmoja tofauti ni majina Tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka juzi diamond akiohojiwa alisema kwamba anawazo la kuanzisha kampuni ya kubet lakini watu wengi walimcheka na wengine kumdhihaki kwamba hana huo uwezo leo hii rasmi ameitambulisha kampuni hiyo na kuipa Jina la WASAFI BET.
View attachment 2023889