Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
651
Rais wa WCB, Diamond Platnumz ametangaza habari njema kwa watanzania hasa hasa kwa wadau wa tasnia ya habari kwamba anatarajia kufungua Wasafi FM na Wasafi TV
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Waka’ akiwa amemshirikisha msanii wa muziki wa kufoka kutoka Marekani, Rick Ross, alitoa taarifa ya ujio wa redio hiyo na TV jana kupitia kipindi cha [HASHTAG]#10over10[/HASHTAG] cha Citizen Tv Kenya.
DSzqb81X4AAwz65.jpg

Hata hivyo kabla ya jana ku confirm ujio huo wa redio na Tv lakini pia Diamond Platnumz kupitia twitter yake Disemba 30 mwaka 2017 alitoa taarifa hio lakini muda mfupi baadae aliifuta taarifa hiyo.
Screen-Shot-2018-01-06-at-12.36.16.png
 
Back
Top Bottom