Ya sallam meneja wakeWaipromoti zaidi itasaidia sana hasa kipindi hiki,wengi nahisi hawaijui
Na huku upo mkuuhaters wakija mniite nijue kuona mapovu
Wabongo bana ...ujuaji mwingiHongera sana ila hizo pesa bora afungue kiwanda cha maji au juice au biscuits na pipi
Haijulikani sana,ahsante kwa kunisaidiaYa sallam meneja wake
Nilivyosoma kichwa cha hbr hili ndo likawa wazo lakwanza kuliwaza!Hamuoni kwamba hivi vituo vikianzishwa ... vituo vingine vitapunguza support kwa team ya WASAFI ?
Diamond anavitu vingine zaidi ya mziki, siamini kama lengo la kuanzisha hivyo vituo ni kwa ajili ya kusapot mziki wao pekee.Hamuoni kwamba hivi vituo vikianzishwa ... vituo vingine vitapunguza support kwa team ya WASAFI ?
Anaweza kununua ya mtu ambapo zipo nyingi sanaKwanza zipo ?
mkuu diamond yupo vizur na anaweza wapindua hata magwiji Kama alivyo pindua labo zilizokuwa zinatamba apa mjini ila sasa WCB ndo baba laoNilivyosoma kichwa cha hbr hili ndo likawa wazo lakwanza kuliwaza!
naona kama haijakaa njema kivile haileti chachu kwa msanii ati unaenda kuhojiwa kwenye tv yako,redio yako! si ajabu lkn aggghrrrr.. msanii kuingia kiushindani na media nyengine ni kama kujipigilia rungu mwenyewe!
Yes wapo.sijakuelewa mkuu, mtu anamiliki huku hana redio?
Mbona wanastudio yao naninafanya poa sana hiyo mambo za kawaidaNilivyosoma kichwa cha hbr hili ndo likawa wazo lakwanza kuliwaza!
naona kama haijakaa njema kivile haileti chachu kwa msanii ati unaenda kuhojiwa kwenye tv yako,redio yako! si ajabu lkn aggghrrrr.. msanii kuingia kiushindani na media nyengine ni kama kujipigilia rungu mwenyewe!
Tv na radio sio mkakati mzuri kwa diamond kwa kuwa itakua conflicts of interest na vyombo vingine ambavyo vinataarajiwa kucheza muziki wake
Bei ni kubwa mno mkuu,najua watu wachache wanazo ila bei wanazouza doh cjui km atamuduAnaweza kununua ya mtu ambapo zipo nyingi sana