Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
Mkuu wewe ulikiwa una miliki tv gan kwa hiyo miaka nane au ulikuwa mfagiaji wa pale sahara media kwa bwana ngosha diallo
 
Huyo tunamburuza dk 0 tu
Anarud alikotoka

vivà mawingu
 
Huyo tunamburuza dk 0 tu
Anarud alikotoka

vivà mawingu
We jamaaa itakua diamond amekufanyia kitu kibaya sana sio kwa chuki hzo 99% ya comments zako huwa unamuattack sana... Mkuu chuki ni ugonjwa
 
hamna ela au hauna ela... fanya kazi ndg. majungu sio mtaji... watu wana fanya kazi, wewe una miaka nane katika kuajiriwa au kuajiri? wenzio wana miaka zaidi ya hiyo na wanasonga na wengine wana gombania kuingia huko huko ulipo shindwa wewe...
ahsante brooo
 
Kama ni pesa naona hapa Domo atapiga hela,,maana matangazo nahisi yatamiminika sana ndani ya muda mfupi tu,kama nawaona cocacola,red tomato cjui,dstv,fastjet,vodacom,tigo kwa mbali,namengine..
Matangazo hayapelekwi bila ya hiyo channel kuwa na uhakika wa viewers..
 
Umeandika mambo mengi lakini ukweli ni kwamba vyovyote vile uwe umesajiliwa popote pale kama kituo chako kina fanya kazi tanzania lazima ufate sheria kanuni na taratibu za Tanzania,,,,, kuna mambo una changanya,,,,
 
Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
Hiyo miaka nane wewe umekuwa kama mfanyakazi si mwenye kituo... kwa hiyo kamwe uwezi kujua faida na hakuna mwenye kituo atamwambia mfanyakazi kuwa mwaka huu hela ipo...ili akulipe kidogo lazima alalamike na aoneshe pesa hakuna kabisa...
Jiulize kwanini asifunge hicho kituo?
 
Umeandika mambo mengi lakini ukweli ni kwamba vyovyote vile uwe umesajiliwa popote pale kama kituo chako kina fanya kazi tanzania lazima ufate sheria kanuni na taratibu za Tanzania,,,,, kuna mambo una changanya,,,,
sawa umeeleweka mkuu ina kuna vile wana sema tuna vutia wawekezaji toka ng'ambo... na kuna vile wana vutia wazawa... wazawa za kwao ni bure ila wageni zakwao wana uza... cheki hapo huo utofauti na wote wanafata sheria...
 
Anapewa sifa Diamond kwani yeye ndio aliyetoa wazo la hyo TV?!
 
Anapewa sifa Diamond kwani yeye ndio aliyetoa wazo la hyo TV?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…