Mnyamwezi yule....mashauzi jadii....
Halafu ile kolabo na j ro sijui itatoka lini?
Hii ni balaaa! WEMA ana folowers 249 zari ana followers 46999 nani zaidi? Zari ninoma, wema sepa zako kule.
Ukweli lazima uwekwe wazi jamani, ukimwi tanzania ni mwingi, kila siku vijana wadogo wanakufa, sababu ya mambo kama hayo na huko Uganda napo hivyo hivyo, huo muda wa kupima afya zao wanao maana kila siku mara anatoka na wema, mara penny na sasa zari, umalaya mwingi ingawa hatupangii mtu jinsi ya kuishi ni bora kukumbushana, maana huwa tunajisahaau sana, haswa kwenye mambo ya starehe.
Maisha anayoishi diamond ni picha halisi ya vijana/ wanaume wengi tu wa hapa kwetu!
Ni vile hawajulikani lakini wengi wamemzidi hata huyo Diamond kwa ufuska!
hahaha wamacosmetics mtaji kakosa alienda kwanza china kufanya window shoppingDuuuuh shem atujengee na cc mabotique cjuiiii ila ayoo macosmetic mmmh hapana
Hii ni balaaa! WEMA ana folowers 249 zari ana followers 46999 nani zaidi? Zari ninoma, wema sepa zako kule.
lamborghini ya mme wake
lakini jamani mbebs mkaree balaa.juu ya kuzaa watoto wake 3, analipa ile mbaya.sura mashallah,na figure anayo.hela anazo,hategemei kuhongwa
Acheni ushabiki zari ni kahaba huko kwao uganda msibabaike na picha za insta, wabongo kwa kushikwa akili.... Yule malaya first grade wema anasubiri pale!!!
Hawakununua waliitest acheni ushabiki maandazi wanapesa lakini sio kama mnavyompaisha nilianza kumfuatilia zari toka april mwaka huu, maisha yake kama wema sepatu mfukoni ana elfu 3 anakuonyesha mbwembwe na kutangaza ana alfu 20.... You know it le "misifa"