Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Acheni ushabiki zari ni kahaba huko kwao uganda msibabaike na picha za insta, wabongo kwa kushikwa akili.... Yule malaya first grade wema anasubiri pale!!!
Alafu we Wema Sepetu tulia tu, ushaachwa usihangaike na ma ID fake kuja kumchafua Mke mwenzio.. Dimondi si level zako tena
Alafu we Wema Sepetu tulia tu, ushaachwa usihangaike na ma ID fake kuja kumchafua Mke mwenzio.. Dimondi si level zako tena
Usilolijua ni Sawa na ucku wa Giza
Ndo matatizo ya kujifanya kuwafahamu watu haya kupitia kwenye mitandao... tena mbaya zaidi mitandao aina ya magazeti ya udaku!! Wengi wenu mmemfahamu Zarina hivi majuzi tu matokeo yake hamna reference yoyote kuhusu yeye hadi hadi m-Google na kukuta reference ambazo zinaweza kuwekwa na yeyote yule bil ushahidi!Acheni ushabiki zari ni kahaba huko kwao uganda msibabaike na picha za insta, wabongo kwa kushikwa akili.... Yule malaya first grade wema anasubiri pale!!!
Ndo matatizo ya kujifanya kuwafahamu watu haya kupitia kwenye mitandao... tena mbaya zaidi mitandao aina ya magazeti ya udaku!! Wengi wenu mmemfahamu Zarina hivi majuzi tu matokeo yake hamna reference yoyote kuhusu yeye hadi hadi m-Google na kukuta reference ambazo zinaweza kuwekwa na yeyote yule bil ushahidi!
The problem with Zarinah ni mtu wa ku-mingle kupita kiasi to the point Waganda, and in fact media za udaku za Uganda zinamuona ni kama mpenda attention wakati ni wao ndio wanaomfuatilia. It's like TZ na Diamond... Dar es salaam hii kuna washenzi mahasherati Diamond mwenyewe hagusi lakini ukifuatilia media unaweza kuamini kwamba Diamond ndie asherati namba moja nchi hii... hata huyo Wema, uasherati wake mwingi ni wa kwenye magazeti... uliza yoyote anayesifia uasherati wa Wema akupe ushahidi basi ushahidi wake ni wa kwenye magzeti ya udaku magezti ambayo yanaandika habari za watu ambazo wanajua kwamba watauza bila kujali kama ni kweli au uongo.
Sidhani kama ninawajibika kumwelewesha mtu asiyeelewa...What's your point bro
Sidhani kama ninawajibika kumwelewesha mtu asiyeelewa...
Hata suku 1 diamond hawezi mpiga huyu demu. Huyu demu ana hela chafu ata diamond hafikii hapo, ana ma boutique south africa huko ni balaa na maduka ya cosmetics dinga ndio usi seme we una dhani ana chapika kirahisi huyu. Zaidi labda aliona diamond ni msanii na ni maarufu na wote wako ndege moja sio mbaya waki piga selfies. Basi ndio mchezo ukaishia hapo... Afu kitu kingine, msije mka jidanganya eti diamond ata kuja kumuoa wema hio haipo, pale ana piga tu basi na yule demu ana jua hamna ndoa hapa ni funyox tu.
Sawa chibu,ila sasa,hawa wapambe wako wanakuharibia huku maana unaonekana umejinadi kisa umepiga picha na demu mwenye pesa east africa nzima na kupanda nae ndege then sjui nini cha ajabu,kwani ndo vipi yaan?tumejua sasa kuwa we umepiga selfie na demu mwenye pesa tukusaidie nini sasa??????au tufanyaje???? Kwani si ishu ya kawaida hii!!!!! Acha ujinga aiseee.
Sent from my radio
Tatizo huwa mna hukumu mapema