Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 602
halafi katika picha kuna tofauti kubwa sana kati ya vipimo vya hipsi za lina halisi na lina wa picha,hao ni waluguru tu walikuwa matombo kwa picnic.Haaaaaaaaaaaaa itakua photoshop hyo maana navyojua mimi kwa rangi hyo ya juu ya diamond basi miguu ingekuwa meupe kuliko hapo coz mda mwingi inafunikwa.
Hii picha haijafanyiwa editing bali ni really Maana nilimsikia huyo msanii aliye na Lina na Diamond akihojiwa na Fetty live yy akiwa Iringa alikubali kuwa ni Kweli but hakuna Mambo ya malove yanahappen Kwao na Diamond bali walienda kula goodtime tu na mpigapicha alifotoa kabla hawajajiandaa na kuwa iliwekwa BBM but imesambaa accidentallyhalafi katika picha kuna tofauti kubwa sana kati ya vipimo vya hipsi za lina halisi na lina wa picha,hao ni waluguru tu walikuwa matombo kwa picnic.
Kuna baadhi ya sehemu za mwili wa binadamu ukiziona ndipo unajua rangi halisi ya mhusika!. Mimi nilidhani mambo ya Calorlight (Karolaiti) na mikorogo ni kwa dada zetu tuu!. Na kwa wanaume ni wanamuziki wa Wakongomani tuu?!. Kumbe hata hawa wenzetu!. Angalia rangu ya mguu na uso!.
Hii picha haijafanyiwa editing bali ni really Maana nilimsikia huyo msanii aliye na Lina na Diamond akihojiwa na Fetty live yy akiwa Iringa alikubali kuwa ni Kweli but hakuna Mambo ya malove yanahappen Kwao na Diamond bali walienda kula goodtime tu na mpigapicha alifotoa kabla hawajajiandaa na kuwa iliwekwa BBM but imesambaa accidentally
REAL NO PHOTOSHOP
Kila kitu, ie Ugoko, wahusika na real