Diamond Atetea Ngozi Mpya Ya Wema Sepetu: Imekuwa Nzuri Yenye Afya

Diamond Atetea Ngozi Mpya Ya Wema Sepetu: Imekuwa Nzuri Yenye Afya

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
“Umemwona Wema, kwa sasa ana ngozi nzuri yenye afya na iliyo na mng’aro kama alivyokuwa awali,ni nzuri sana yani, ameacha kabisa kutumia dawa za
kung’arisha ngozi hilo ndilo lililonivutia zaidi kwani alisikiliza ushauri niliompa kabla.”

Hiyo ni kauli ya staa aliyetikisa mwaka 2013 bwana Diamond Platnumz aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa akizungumza na gazeti maarufu la michezo nchini hivi karibuni.

Diamond amesema Wema ndiye mwanamke anayetamani kuwa naye katika maisha yake, hivyo kauli yake aliyoitoa mwanzo kuhusu kuzaa na Wema ipo mbioni kutimia.

“Miezi kadhaa nyuma niliongea kuhusu nia yangu ya kuzaa na Wema, wakati huo nilikuwa bado na Penny, siwezi kukimbia kivuli changu kwani ukweli unabaki palepale nampenda yule binti, japokuwa wapo wanaosema kwamba sijatulia au natafuta ‘kiki’ kupitia warembo hawa, si kweli, Wema nilikuwa naye kabla ya Penny na vigezo vyangu ni mchumba anayejali kazi yangu na kujua kwamba mimi ni staa nahitajika sehemu yoyote, muda wowote, Wema ni mwelewa.”

Chanzo>>>Diamond Atetea Ngozi Mpya Ya Wema Sepetu: Imekuwa Nzuri Yenye Afya - bkuHABARI
 
Aache usenge wa kusifia mademu,utafikiri huyo sepetu wema haendi chooni.
 
Hata ngozi ya mama yake platnum ni nzuri,ama kweli mchagua k si mto m*****
 
Jaman sometimes elimu n muhimu, dume zima kuongea vitu vya kipuuz n ujinga uliopitiliza na ushamba uliokithiri.
 
hivi yule afisa habari wa domo humi jf yupo wapi?
 
Yeye mwenyewe ashaimba kwamba mapenzi ni upofu so tusimshangae sana. Let him live his stupid life..
 
Kitu cha kwanza kwa kweli sifagilii uzinzi. Ila ni ukweli usiopingika inaonekana wawili hawa wanapednana kutoka rohoni. Katika dunia hii ni ngumu sana kupata couple ya wote kupendana almost sawa. Hebu kumbuka Penny aliopkuwa na Diamond na Wema akiwa na Diamond halafu upime. Na kwa kuwa wote umri wao ni zaidi ya miaka 18 nategemea wana maamuzi yao binafsi ( Wazazi wanaweza shauri lakini hawawezi lazimisha). Nadhani muda umefika sasa waowane wajenge familia yao.
Nakumbuka mwanzoni Wema aliweka wazi matarajio yao ya kuwa na Kampuni nk. Maneno mengine wayapuuze cha msingi wahalalishe uhusiano wao uwe Rasmi waendelee na maisha yao. Yaliyopita yabaki kuwa historia.
 
"Umemwona Wema, kwa sasa ana ngozi nzuri yenye afya na iliyo na mng'aro kama alivyokuwa awali,ni nzuri sana yani, ameacha kabisa kutumia dawa za
kung'arisha ngozi hilo ndilo lililonivutia zaidi kwani alisikiliza ushauri niliompa kabla."

Hiyo ni kauli ya staa aliyetikisa mwaka 2013 bwana Diamond Platnumz aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa akizungumza na gazeti maarufu la michezo nchini hivi karibuni.

Diamond amesema Wema ndiye mwanamke anayetamani kuwa naye katika maisha yake, hivyo kauli yake aliyoitoa mwanzo kuhusu kuzaa na Wema ipo mbioni kutimia.

"Miezi kadhaa nyuma niliongea kuhusu nia yangu ya kuzaa na Wema, wakati huo nilikuwa bado na Penny, siwezi kukimbia kivuli changu kwani ukweli unabaki palepale nampenda yule binti, japokuwa wapo wanaosema kwamba sijatulia au natafuta ‘kiki' kupitia warembo hawa, si kweli, Wema nilikuwa naye kabla ya Penny na vigezo vyangu ni mchumba anayejali kazi yangu na kujua kwamba mimi ni staa nahitajika sehemu yoyote, muda wowote, Wema ni mwelewa."

Chanzo>>>Diamond Atetea Ngozi Mpya Ya Wema Sepetu: Imekuwa Nzuri Yenye Afya - bkuHABARI

Mkuu mwambie akakisifie KIDUME kilichokua kikimmega na kumtunza WE.. kabla hajamrudia, iko ndio kimefanikisha ngozi kua laini
 
Mkuu mwambie akakisifie KIDUME kilichokua kikimmega na kumtunza kabla hajamrudie, iko ndio kimefanikisha ngozi kua laini

Una maneno mazito!
Nikuulize unaushahidi?!!
 

Dah!!Diamond alisema katika Spora Show, moja ya sababu ya kumwaga wema kua "Wema alikua na mwanaume wa ku mfinance alafu na ki brazamen kingine kama yeye" labda ilo ndio ushahidi tosha toka kwa Platnum mwenyewe itazame YOU TUBE. Big up kwa kazi zake, Yuko vema sana
 
Dah!!Diamond alisema katika Spora Show, moja ya sababu ya kumwaga wema kua "Wema alikua na mwanaume wa ku mfinance na ki brazamen" labda ilo ndio ushahidi tosha toka kwa Platnum mwenyewe itazame YOU TUBE. Big up kwa kazi zake, Yuko vema sana

Kwahiyo sasa hayukonae huyo Brazameni ndo wakarudiana?!!
 
Back
Top Bottom