Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Bosi wa lebo ya muziki wa WCB Wasafi Diamond Platnumz amethibitisha Mbosso kuondoka rasmi chini ya lebo hiyo na kuwa msanii huru ambaye anajitegemea mwenyewe kisanaa.
Akimwelezea kutokana na ukarimu na heshima ya Mbosso kipindi chote wakiwa pamoja, imemlazimu kumuachia Mbosso bila kumlipisha gharama zozote kama mikataba ilivyotaka na kuifanya hiyo kama sehemu ya baraka zake katika safari mpya ya Mbosso kisanaa. Na kusema; "Atakayemgusa Mbosso kanigusa mimi! Tutapambana naye!"