Hawa wasanii hawaisaidii ccm kabisa
Na whoever told ccm strategy yao ni akina mondi na stivu Nyerere kakosea sana
Sherehe ya ccm yeye anaongelea Mbosso na kuhamisha kabisa mada
Ccm inawapoteza youths wengi wenye tamaa ya mafanikio Kwa kukumbatia mpira na wasanii
A very wrong strategy