Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Yule wa south kapata linigeria "zee la Nyembe"linakwapua hadi bank ya Dunia..si maziro kms ferrari.maserati hata benz jipya kapewa..yeye ni nani muuza karanga Na X6 2010
 
Ngoja wajanja wamtegeshee mimba waanze kula hela zake,na hizi zama za Magufuli alizoziimba,si za Jakaya,watu watajikimu kwake sana,imagine super star wa kike kashindwa kulea mtoto miezi miwili tu tangu azaliwe wakati independent women wanakaza mpaka wanasomesha watoto chuo kikuu


Huyu ataomba mpaka hela ya wanja
 
Hahahaha machozi ya samaki hayo chai jaba umeyataka mwenyewe tuliza mbupu zako chini .Zari kapost hatakuwepo na diamond Uganda hivyo blogs wasipotoshe.Yaani ziara ya chaijaba Uganda ni chungu .

Ila wasafi laana inawatembeleaa nae Aunty ezekile katoa povu la maana sijui dada gani anatembea na baba cookie hahaha eti wamesubiri kamsafisha ndo wanamfuata Iyobo, eti huyo dada atulie aliwe kimya kimya
 
"...nimesoma nikarudia sijaona tatizo la Azimio la Arusha, nikaona watu wakaitana kimya kimya wakaenda Zanzibar, waliporudi huko tukaona wanaongea chinichini, sie wenye akili tukajua ndio Azimio limekufa hilo..." Mwl. Nyerere
Waite wakalishe chin
 
"...nimesoma nikarudia sijaona tatizo la Azimio la Arusha, nikaona watu wakaitana kimya kimya wakaenda Zanzibar, waliporudi huko tukaona wanaongea chinichini, sie wenye akili tukajua ndio Azimio limekufa hilo..." Mwl. Nyerere
Ha ha ha ha ha haa
 
Mkuu umeongea point kubwa San BT iyo point umeongea ukiwa nje ya uharisia,,

Mfano huwez kujua uchungu wa kufiwa mpak ufiwe,,,,,

Mfano mwingn nape kapata akil mpak walipomvua uwazir

Mfano mwngn,,,,ni rahic kumshaur MTU asome kwa bidii na akifeli unaanza kumlaum


Sasa tukij kweny usupasta ni rahic kumpa ushaur apige kimya BT ukipewa na wew usupasta ni tofaut
 
Watu Wa insta wanapenda timu zao balaa..mpaka wanaumwa
 
Ukishaukubali umaarufu (fame) ,sahau kuhusu UHURU wako......
Neno langu sio sheria
 
haa haa haa dai akianzaga kumchoka mtu anakuwa na shombo sana
This time yy ndio atakua amechokwa, refer kauli aliyotoa ya kutembea kwa magoti adi SA ili asamehewe. Zari ameona afunge vioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…