Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Super star wa kike miezi miwili tu kashindwa kulea mtoto,
 
Hili povu nami limenitoa mzee mzima ntandaba huku nilikokuwa pangoni hasa hapa "...na alie south.."
Hii kauli kwa sisi wazee tayari tumeshang'amua jambo,wazee wenzangu tukutane kilingeni tumnusuru huyu mjukuu wetu kwa haya masahibu anayokutananayo
 
Mange kimambi kanipiga bani kisa kumwambia aache kufatilia mambo ya diamond. Wasanii wanatafta kiki ili waendelee kutrend kwenye masiko ya watu.
Dah nakusalimu muhanga mwezangu mange kaniblock hata mimi nina na akaunti mbili za insta na zote kaniblock yani mange anasoma kila komenti nkila negative commenter anamblock ndo mana posti zake zimejaa masapota kwasabu anablock wanaompinga
 
Haaahaaahaaaaa... mwenzake amelia kilio cha mbwa mdomo wazi baada ya kuachwa, yeye kaamua kulia kwa kutumia vidole kuandika, mweeeee...poleni ama kweli mabadiliko ya tabia nchi yameingilia mapenzi, hata hamisa ulimkana wewe.
 
Hata ningekuwa mimi kwenye pozisheni yake ningewapiga sana tindo uongo zambi.
 
Dah nakusalimu muhanga mwezangu mange kaniblock hata mimi nina na akaunti mbili za insta na zote kaniblock yani mange anasoma kila komenti nkila negative commenter anamblock ndo mana posti zake zimejaa masapota kwasabu anablock wanaompinga
Mbona wapo humpinga na kumtukana
 
aliyekuwa south kashasema sasa hakutaki mtoto wa tandale, sasa povu la nn umu jukwaan? we endelea tu kupiga madem wako waganga njaa hao maana ndio level zako! watafurah sana utakapokuja kufulia kama mr nice maana kick zimekuzid mdogo wetu na hii yote ni kutokana na ulimbuken tu, huon wenzio wa akina AY & FA wana mawe lakin hata hawana tabia ya kisengelema kama ww
 
mtoto mshamba sana uyo, yaan kila siku kaka zake tumsikie yeye, bas tumsikiage kwa mazur ili tumsapot lakin kila siku tunaskia sifa zake za umalaya tu kweli nimeamin maskin akipata matako hulia mbwata! na ndio maana wengine hasira zao wanaamua kumalizia kwa bi mkubwa tu ili waende nae sawa
 
Dai aacha k changa agandane na k iliyotoa watoto 5 helo,,zari kamzidi dai miaka kumi na kitu,dai kanifurahisha
Ndo kwanza ana miaka 28, kwa kweli yataka moyo, Yale mashauzi sasa alokua nayo huyu jirani wa ug sasa aiseeee
 
Sasa hapo mtu keshajisemea hajaoa na ndio kwanza mbichi damu inachemka...kuna la kusema tena?
Huwezi kutoa hayo maneno kama ndoa yako iko imara na haina mushkeli, mtu hunena ya ujazayo moyo wake.
Kweli kabisa.
 
Ukiona moshi......

Hizi shombo za dai skuiz zimenichosha kwa kweli nimebaki kusubiri nyimbo zipigwe redioni basi....

Acha niendelee kumshabikia wizkid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…