miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
MawingiJifunze kuandika Milion 2 ndio Mamilion
Shez wee
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mawingi
Mnasubiri hadi mwenzenu atobolewe macho ndio mnaanza kujigosha ,,,,very useless !
Kiki!Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Habari ya mjini sasa hivi ni mtobolewa macho Said ukimfanyia kitu sasa hivi unapata kiki balaa baba yake hana kiki hata akimsaidia inaonekana ni wajibu wake ila kwa Said ni kiki.Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Basi dunia ina mamboHabari ya mjini sasa hivi ni mtobolewa macho Said ukimfanyia kitu sasa hivi unapata kiki balaa baba yake hana kiki hata akimsaidia inaonekana ni wajibu wake ila kwa Said ni kiki.
Una habari tunda yuko rwanda?Safi sana mondi wewe mtu wa watu sana tofauti na huyo kibakuli
Inahusianaje na mada iliyotolewa.Anzisha uzi wake.Watanzania ndivyo walivyo manake hata kule Arusha tapeli tu akiuwawa na matapeli wamezulumiana gazeti linaandika Bilionea afa,,,sasa unajiuliza hivi Arusha ina mabilionea wangapi? ndio mana million 2 ikiitwa mamilioni pia sio kitu cha ajabu kwa wabongo...
Usiseme Tunda sema Cleopatra wa TzUna habari tunda yuko rwanda?
Hahahahahahaha unanifurahishaga sana hahaha nilivyomuona tu nikakukumbuka [emoji28][emoji28]
AminMungu amzidishie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahahaha unanifurahishaga sana hahaha nilivyomuona tu nikakukumbuka [emoji28][emoji28]
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
Kaenda kufanywa nini huko