mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
staa wa muziki wa bongo fleva nchini tanzania Diamond platmumz amefanya show ya kibabe usiku wa kuamkia leo julai29 huko barcelona nchini Hispania katika event ya afrobrunch ikiwa ni maadhimisho ya ya mziki wa afrobeats , akiwaacha mashabiki hoi kwa kutumbuiza nyimbo zake pendwa ,hii ikiwa ni show yake ya pili masaa kadhaa baada ya kutumbuiza kwenye show ya afro land huko ujerumani julai 27 .