njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Bongo hatari sana, kuna siku Pambalu wa CHADEMA kwa niaba ya BAVICHA aliitisha press kuzungumiza upandaji wa uongo wa mshahara na siku hiyo hiyo s Alhaji Takadini alikuwa na press yake ya kumchamba Karia na TFF, guess what, Bavicha walipata mic moja tu woote walikuwa kwa Alhaji Takadini
Leo tena utopolo wamekimbiwa na makanjanja yoote yalikuwa kwa ndomo, poleni sana na hapo ni baada ya jana kutujambisha na story ya Manzoki ika boost uwepo wa hiyo press
Leo tena utopolo wamekimbiwa na makanjanja yoote yalikuwa kwa ndomo, poleni sana na hapo ni baada ya jana kutujambisha na story ya Manzoki ika boost uwepo wa hiyo press