njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Punguza umbumbumbuBongo hatari sana, kuna siku pambalu wa chadema kwa niaba ya bavicha aliitisha press kuzungumiza upandaji wa uongo wa mshahara na siku hiyohiyo sope albino zeru square, alhaji takadini alikuwa na press yake ya kumchamba Karia na Tff, guess what, Bavicha walipata mic moja tu woote walikuwa kwa alhaji takadini
Leo tena utopolo wamekimbiwa na makanjanja yoote yalikuwa kwa ndomo, poleni sana na hapo ni baada ya jana kutujambisha na story ya manzoki ika boost uwepo wa hiyo press
View attachment 2328628
acha ku crop picha we topolo hizo zina tofauti gani na nilizoweka sababu zimeongezeka mbili tu au kwa vile umeweka close up shot?Punguza umbumbumbu View attachment 2328634
makanjanja hayana adabu kabisa😀Huhuuhuuuuu
Kolo mbumbumbu ni hatari kwa afya ya michezoAkili za Makolo bana unaweza kukuta huyu ni mtu mzima na anafamilia
hizo microphones ziko ngapi? ina manaa ndomo bin laden kachukua makanjanja yote? oh noo wengine walikuwa kwa karia kusikilizia majina ya taifa starsAkili za Makolo bana unaweza kukuta huyu ni mtu mzima na anafamilia
Walichofanya makanjanja siyo poa kwa kweli yaani bora kwenda kumsikiliza babalevo kuliko mipango ya msomali HersiKolo mbumbumbu ni hatari kwa afya ya michezo
Kwa hiyo kilichotokea hakijakufikia, au hujakisikia,,??? Maana nia kuu ni watu wapate taarifa. Na we have so many ways za taarifa kufika kwa uma, hiyo ya uliowaita makanjanja is just one of them. Relax KOLO WA MBUMBUMBU FCWalichofanya makanjanja siyo poa kwa kweli yaani bora kwenda kumsikiliza babalevo kuliko mipango ya msomali Hersi
Kwa hiyo mnakubali kwamba kwamba makanjanja leo yamewadharau?Kwa hiyo kilichotokea hakijakufikia, au hujakisikia,,??? Maana nia kuu ni watu wapate taarifa. Na we have so many ways za taarifa kufika kwa uma, hiyo ya uliowaita makanjanja is just one of them. Relax KOLO WA MBUMBUMBU FC
Wewe kolo wasemaKwa hiyo mnakubali kwamba kwamba makanjanja leo yamewadharau?
tafuteni jina jingine ndugu zangu liwe kali kama lile la utopolo mlilojitungiaWewe kolo wasema
Kolo ni kifupi cha makolokolo.. !! Kuna maneno ya kiswahili yana maana zaidi ya moja, tena mengine tofauti ni kwenye matamshi tu.. mfano, neno BARABARA..!! Inaweza ikawa na maana ya njia ya kupita au inaweza ikawa na maana ya sawiatafuteni jina jingine ndugu zangu liwe kali kama lile la utopolo mlilojitungia
View attachment 2328660
ohoo unaamnaisha jezi zenye makolokolo siyo? kweli kabisa jezi zenu zimetulia sana very simple hazina makolokolo kabisa ila zeruzeru alhaji sope takadini si alisema likiwa moja liitwe kolo au mmekataa kufata amri yake?Kolo ni kifupi cha makolokolo.. !! Kuna maneno ya kiswahili yana maana zaidi ya moja, tena mengine tofauti ni kwenye matamshi tu.. mfano, neno BARABARA..!! Inaweza ikawa na maana ya njia ya kupita au inaweza ikawa na maana ya sawia
NYIE NI MAKOLOKOLO A.K.A MAKOLO a.k.a tena NA HASA UKIWA MMOJA UNAITWA KOLO. Usisahau mna kolo za kike huko MBUMBUMBU FC
yaani babalevo makanjanja yamemuona wa maana kuliko pwagu Hersi? si ni bora Pwaguzi takadini angekuwa hajafungiwa makanjanja yangejaa kusikiliza uharo wakeKwamba Yanga ikiwa na press kazi zingine zisifanyike? Mungu saidia hii kenge ijitambue
Mmepigwa za uso, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kolo mbumbumbu ni hatari kwa afya ya michezo
Mlongo, Manzoki ndo basi tena..!!!Mmepigwa za uso, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti
Mimi naomba tu hiki unachotabiri hapa, kisiwe na ukweli wowote ule.Akili za Makolo bana unaweza kukuta huyu ni mtu mzima na anafamilia