Diamond awa mtanzania wa kwanza kutembea na mbwa fukwe za mbali

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957


Wazungu walimshangaa sana kwa muonekano wake wa kisupastaa na bei ya mbwa huyo ilivyo ghali ambapo inaaminika kwa bongo inaweza kutosha kununua verossa.

Big up Dangote platinum...haters watakoma mwaka huu.
 
Reactions: Sal
Heee kuna wakati nilisoma mahali kuwa wema sepetu anafuga mbwa
au ndo huyo,
makubwa haya tena.
 
Duh huyu mbwa ana thamani ya verrosa
 
angalia viatu vya dai alafu tafuta mtu mwingine aliyevaa viatu kama vyake, ndo utajua kama tumevamia au waalikwa!
 
Habari nyingine za huyu dogo sasa zinakera
Mbwa bei ya verosa?au mmejisahau mkajuwa na sisi ulaya na marekani hatufiki?
Mbona ndio maisha yangu huko unadanganya watu peupe tena enzi hizi.
 
Aisee huyu alieleta hii mada ni mshambaa!!! Wazungu wa nchi gani wanaoshangaa usupa staa wa Diamond??? Yaani we ni mshamba hadi nashindwa kuku-describe. Sorry for u!!
 
INNOVATOR unaweza kunikabidhi ufunguo japo nusu saa
 
Last edited by a moderator:
Mbwa mwenyewe kajikondea,misifa ya kijinga tu!

hapana mkuu wewe huwajui mbwa, huyo mbwa ndio shape yake ingia Google angalia aina mbwa utaelewa tena hao kwa ulinzi ni balaa, hapa natumia simu ningekushushia vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…