Diamond awajibu Team Wema

Diamond awajibu Team Wema

MoPlan

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
907
Reaction score
661
Baada ya timu Wema kumzodoa Diamond kwa kumkatisha miuno kwenye tamasha la fiesta,Diamond kawajibu punde na kutoa msimamo wake!!!

Picha soon inakuja!!!


*****************************************

attachment.php
 
Aisee! Mkuu hao team Wema huwa wanafanyia mazoezi wapi na coach wao ni nani?!

Ina maana hawajui kuwa Wema anatakiwa kutumika kuhakisha diamond anabaki kwenye level yake?
 
Huyu Diamond baada tu kutoa nyimbo ya kindololo basi nikaelewa fika sasa hivi mziki wake ameulenga kwa waswahiswahili na nitashanga kwenye top 10 za uswazi kwa Zembwela kama haipo.

Uswahili wa Diamond ni huu kubishana na wauza K wa mjini anashindwa kujuwa alipata hata heshima ya kukaa meza moja na Rais na anatakiwa hizi team mavimavi hasijishughurishe nazo. Mswahili wa Tandale kubadilika ipo kazi.
 
kwani wao km nani wamsemee wema
ye mtoto?!!!!
haoni km anatumika vbaya...!!!???
wao s ndo walimtukana peny au wanaona haya kuona peny na jokate wanapepea....??!!!
waende zao wamefulia!!!
wamuache nasib anajua nani wife material na gf
 
kwani wao km nani wamsemee wema
ye mtoto?!!!!
haoni km anatumika vbaya...!!!???
wao s ndo walimtukana peny au wanaona haya kuona peny na jokate wanapepea....??!!!
waende zao wamefulia!!!
wamuache nasib anajua nani wife material nani material wife!
Hiyo para ya mwisho kumbe hizo ni sifa mbili tofauti?
 
kwani wao km nani wamsemee wema
ye mtoto?!!!!
haoni km anatumika vbaya...!!!???
wao s ndo walimtukana peny au wanaona haya kuona peny na jokate wanapepea....??!!!
waende zao wamefulia!!!
wamuache nasib anajua nani wife material nani material wife!

Jokate hadi kuingia ubongo was fleva na degree yake ni kufulia my dear. Hata kumdate domo ni ucheap pia
 
Haya ndio diamond aliyoyajibu insta houko.mambo yanazid kuwa matamu jaman
 
Jokate hadi kuingia ubongo was fleva na degree yake ni kufulia my dear. Hata kumdate domo ni ucheap pia

Sidhani kama jojo kafulia. Na hata akifulia hatafikia level ya Wema ya kufulia. I admit kuwa alibugi kudate na domo, but alikung'uta mavumbi akasonga mbele. Jojo is multi-talented na anajitambua, hatokosa kitu cha kumuweka mjini.
 
Baada ya mashabiki wa wema a.k.a Team madam kumsema diamond kuwa anamtumia Wema kwa manufaa yake binafsi na sio mapenzi Diamond kaamua kuwatolea uvivu na kuwaambia ukweli mashabiki wa wema na mwenyewe wema aache kupenda starehe na Anasa.
 

Attachments

  • 1408043882642.jpg
    1408043882642.jpg
    74.5 KB · Views: 7,849
Back
Top Bottom