Diamond awajibu Team Wema

Tehtehteh, mbavu zangu mie, JF idumu jamani, boss alishanitinua asubuhi asubuhi hapa, nimeingia hapa angalau nimecheka
Wapi warumi, mama ubaya yamemkuta huku


Bila skendo daimond hauzi.......

Yaani kila baada ya muda lazima waachie ushuzi ili watu wawajadili
 
Last edited by a moderator:
the girl yuko next level..... huwezi mlinganisha na wema hata kidogo kwahiyo ana utilize every opportunity she gets.

kwahiyo ukiwa na degree usipande jukwaani kuimba....

Nimeshangaa.
Tukisoma,Tusiimbe?
Tukisoma,Tusipende?
Tukisoma,Tusikosee?
Tukisoma,Tunakuwa Perfect!
She Has Got The Right To Make Her Own Mistakes.......
 
ni mshangao.. kwa kila mtu baada ya niga aliejipachika jina la tajiri wa nigeria Dangote.. kwa pesa alizohisi anamiliki kwa wingi wake kutokana na ufanyaji wake mzuri...wa kazi na juhudi zinazompelekea kua na mafanikio..kuliko wasanii wengine hapa bongo...

KILICHOMKUTA??
Kila mtu anajua nyendo zake na muonekano wake hata nusu ya maisha yake... kutokana na kushika line za juu kabisa za vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.... hivyo kamera zaidi ya zile za cctv zimekua ziki mmulika kwa kile anachokifanya ktk maisha yake...
katika swala la hivi karibuni baada ya kurusha maneno yaliokua yamekaa mfumo wa kimafumbo zaidi ktk ukurasa wake wa instagram.. imewafanya mashabiki wengi kijiiuliza na kutafsiri...kua alimaanisha nini

TUJIULIZEEE????!!!!

1.ni nani mtu wake wa karibu asie ndugu yake bali rafiki.../,,mchumba.. _____________?

2.ni nani wakumshauri akaelewa na kusikia kwa haraka zaidi ______________?

3.ni nani anaendaaga nae ktk starehe za hapa na pale _________?

4.ni nani anaeweza kumpa mtaji na asifuatane nae ktk kazi ili wazalishe huku na huku________?

5.ni nani ambae anataka muda wote wagandane kama ruba kiasi kwamba hata wakiwa na ofisi atauza yeye asitoke nje _____?

6,Ni nani anaefaidika na mafanikio yake______?

7.Nani anaweza kumuambia CHIBU kwakua sasa hivi una pesa tununue gari mpya,nyumba mpya,twende Dubai,Twende china,Twende USA,fungua kiwanda cha pombe nani atamuambia________?

Je majibu hayo yakijibiwa utapata jibu la jina la Mshabiki hata mmoja????

Je?? Niukweli kwamba CHIBU ameshtuka kwamba huenda akawa anapata ushauri mmbovu ktk maisha yake na watu wake wa karibu hawana ++ thinking.

Hongera CHIBU kwa kushtuka mapema na msg is sent
 
zamu ya diamond kurudi bench imecome amuache tanzania bway nomineee ali k 4 real a take over
 
Umeanzia kati. Leta alichokipost IG. Leta kile team wema wamekipost IG.
Tutajua jinsi ya kujibu maswali yako
 
umeonaa
bora umenisaidia jokate anakaba
wapo wengi wasomi na wanaimba
unaweza kumuita kiraka
mi sishangai ye kuimba s anatafuta kwa riziki yake

Sasa ndo naanza kuamini maneno ya lara 1 kwamba jamii imejaa unafiki na walimwengu hawana jema...
Huyo Jokate angedate na Mengi wangesema...ooh mzee, anamchuna tu...
Angedate na gentleman kidogo wangesema ooh....kapora mume wa mtu...
Kadate na Hasheem Thabeet watu yakawatoka maneno ...ooh ana nanihii ya pundaa...
Kaja kwa kitorondo....ooh tumemdharau yule mswahili...

Sasa mnataka ampe nani? Awape nyie au afe na utamu wake?

Walimwengu hawaishiwi cha kusema....
 
Last edited by a moderator:
from DAIMOND

Nafkiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa Msanii wenu... kama mngemshauri apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze Stareh zisizo na Faida, wenda ingemsaidia Pesa kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta maendeleo badala ya kuwapa viwanda vya pombe... Mimi kama bwana, wajibu wangu ni kuhakikisha Mpenzi wangu anakula vizuri, anavaa vizuri, analala vizuri, na kumuwezesha mtaji wa kufanyia kazi.... Waswahili wanasema Mchungaji bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka Ng'ombe wake Kwenye Maji safi....ila yeye ng'ombe mwenyewe ndio anatakiwa aamue kunywa maji!!!!! Au mnataka nikishampa mtaji niache kufanya na show tena na kuigiza nimuigizie mie ???? Nisiende Studio nikae dukani nimuuzie mie????.. ni juhudi zako kwanza!... leo hii mimi Hata ningepewa Mamilioni ya mamilioni kama nisingekuwa na moyo wa mie mwenyewe kwanza kutaka kujituma na kupenda kufanya kazi yangu nisingefikia hapa nilipo!....Mxieeeeeeeew!😏 Kama nimekuchefua Lamba ndimu Usitapike😞

VIA
instagram
 
Nimeshangaa.
Tukisoma,Tusiimbe?
Tukisoma,Tusipende?
Tukisoma,Tusikosee?
Tukisoma,Tunakuwa Perfect!
She Has Got The Right To Make Her Own Mistakes.......

Ukiwasikiliza binadamu hata chooni utakuwa huendiii...

Utaambiwa we si una degree wewe...sisi tunavyojua wenye degree hawa.nyi...
 
FROM teamwema

Nachukiaa tena narudia tena nachukia mijitu inato huko na kusema ooh aige mfano wa sijui jacki mala sijui Nancy sumari cjui nani ss mnataka atembee na wazee au aibe wanaume za watu plz kama mmeamua kumshaur mshauri awe yy sio awe mtu mwengine msitake hii chance kuongea usenge ss plz....back to my point lawama zang mm zinaenda kwa diamondplatnumz ni mtu ambae ntamlaumu milele kubadilika kwa wema hiv dai unajiskiaje mwanamke wako akipanda juu ya stage nakuanza kukata viuona chini yake kuna maelf ya watu wanamshangilia hiv unajua kuna wangapi wanao mtamani? Kuna wengine wakimuona tu wema huko chin hatr...dai srry for saying dis but in another point ww ndie unae mrudisha wema nyuma kuna muda huwa najiulize do u real love her ss hapa hamjaona ukishamua sindo tunampoteza kabisa...kwa ninavyo jua mpnz wako ndio mshaur wako wakwanz lakin ss mpnz ww uko busy kumshaur akacheze show for real...ok iko wap ile movie yenu ya china kila siku coming soon yan mnafanya watu wawaoneni waongo na hamna akili me vipo vingi navijua sema kwa heshima ya wema naonaga nijikaliege kimya..mm najua dai huskindwi kumkatia wema ticket uende nae out de country since merudiana tunaona post za wema kukununulia vitu but I had nvr seen ww kumfanyia wema something is dis wat u call love? O kunyonyana kimya kimya we kama mwanaume huwez mruhus mwanamke wako anaenda kweny vigodoro kufanya nn ss...wema if giving u makavu will help u to realise that we want dat am ready to start giving u makavu ...dont make ppo loss interest with u kutupenda sio kusema na kutuchezea show but kuonesha but listen to wat we want...ss tutaanza kukuchapa fimbo na leo hii me natangaza martinkadinda nakuingilia kazii yakooo ss tutaanza kwenda kitemi maana kimya kimya hatuelewani...baadae ntarud kwa nyie washabikiii
via
instagran
 
Last edited by a moderator:
Great minds discuss ideas, average minds discuss events, poor minds discuss pple
 
Zile stori za "Ndomo kawa mbongo wa kwanza kupiga picha na ng'ang'a ufukweni" kushnehi....
 
Great minds discuss ideas, average minds discuss events, poor minds discuss pple

if u want to discuss ideals go inteligenc forums..
if u want to discuss everage go education forum
if u want ti discuss celebrety ppl come here..
if u dont know the different above go jf rule...😚😚😚
 
Wacha we.....
Vioo viwe wema na daimondi...
Badala ya kuwa baba yako mama yako au watu waliofanyikiwa

Wema na ndoma wakiwa vioo mtu kama mengi na bakhresa wawe nini? Vyupa???



hawa ndio kioo chetu lazima tukisafishe tukione good
 

hao ndo walimwengu
yaani kila kitu wanasema na kunyoosha vidole
wao hawajui binadamu ameumbiwa mapungufu
wao km watakatifu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…