DIAMOND awaomba radhi WATANZANIA

Dudubaya si alikua zaidi ya hyo sasa yuko wapi? Ugomvi hauna issue ningekua mie hakimu ungekula nyundo mbili jela iwe fundisho
 
wasipo mniniliu huyu dogo langu jicho mkono na shavu langu...by khadija yusuph
 


Mkuu Sorry! naomba unifahamishe Diamond ndo nani?
 
halafu mwisho mwananchi anaandika, send from my i phone, au send from my blackberry au unakolezea zaid send from my Nokia, basi sie wengine tugongeleshee send from my TTCL.!!!. mtakoma na Dimon wenu ah! sorry Diamond!! ah kwendeni zenu at Diamond.. pyuu!! anaitwa NASIBU ABDULI.. ... ...!! wacha nipitage tu njia hii siipendi kama nini.. ina maudhi kila ukipita, ati mtu ahukumiwe miezi sita akila dona kavu na dagaa waliolowekwa kwenye maji ya moto, akinyea debe na kuliwa na Mbu usiku kucha.. akisoteshwa na kazi nzito gerezani.. au kulipa Tsh30,000/= sawa na mlo mmoja wa mchana hapa Plaza.. aisee kweli mizani hii inashabihiana? .. halafu kituko zaidi mtu anaomba apunguziwe adhabu may be alipe ngapi sasa.. Hii faini ya Tokea 61, bado inaexist?
 
Hana adabu kabisa,mambo ya kupigana yamepitwa na wakati watu wanapigana na maendeleo na sio kupigana na mtu ambae ndio anamsaidia yeye kutangaza habari zake ili aweze pata wahudhuriaji wengi ktk maonyesho yake yeye analeta uzuri

basi tu sheria imenibana ningempa cha uswahilini kama alivyo yeye mtoto wa uswahilini
 
Amuombe radhi na kumlipa Francis Godwin....sio wapenzi wake maana wameshamjua ulimbukeni na utoto...period
 
Ubinadamu kazi kweli kweli, sioni kosa la Msanii Diamond kuomba radhi jamani mnasahau kwamba hakuna mtu aliyemkamilifu, amekiri kosa na kuomba msamaha, kama hutaki hicho sasa kiburi ila ni jambo la kiungwana kuomba radhi unapofanya kosa na Diamond amefanya vema kabisa.
Comment zingine hazina msingi kabisa mtu unaposema mtoto wa uswazi ni wa uswazi tu, ama kusema ndio maana anaishi na wema hizo ni dalili za wivu jamani wakati mwingine si lazima ku comment kama huna jambo la msingi la kusema.

Mwisho hongera sana Diamond, kwani ni mmoja ya wasanii wenye vipaji na wanaojua kutawala jukwaa.Hakuna nyimbo ambayo Diamond ameitoa ikafanya vibaya. Keep it up.
 
aombe msamaha huyo walieudhiana nae,
 

aombe msamaha godwin
 
Do i need to west my time in this thread???while i know the person??itx crazyness to me!!go to hell!!!can you clash the media?for the stupidness??shame on all concern,akimu,almas,wanenguaji!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…