Diamond awapiga Clouds kijembe cha kiutu uzima

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Katika kipindi cha D'wikend chat show cha clouds TV, ameulizwa " Meneja wako Sallam analalamikiwa yupo too hasrh and over protective to you. Unalizungumziaje?". Amejibu " Sallam yupo kwa ajili ya kulinda brand...kuna watu ukishakuwa na jina wa nataka wakutumia wakitumie bure halafu ukishuka wanakuacha wanafuata MTU mwqingine na mifano IPO..."Amerudia sentensi hiyo mara mbili. Kwa maoni yangu .Hili ni dongo la kiutu uzima kwa Clouds na Ruge
 
ila sidhani kama kuna ubaya wowote kwa diamond kuongea hivyo maana mlinda brand siku zote mbeba lawama bhana alafu kuna zaidi ya unaye mfikiria , wewe ndo umeona dongo kwa clouds lakin wapo watu kibao tofauti na ruge, pia kuna management zinawaachaga wasanii bhana au kwasababu inshu za clouds ndo zinapataga kik saaana
 
Sio Ruge tuu, wengi sana wako hivo, sema kwa alipo utolea ujumbe ni pana mfaa kubwa la majambazi Ruge

Ila domo kajikaza na kaongea vizuri alo wafikishia ujumbe nadhani wame upata, kawaokoa hata wasanii wa kiume siyo kila siku wasanii wa kike kina ruby na jide ndo wafikishe ujumbe bhana wasanii wa kiume nao wajikaze hata tu ujumbe kwa mkato mkato na mafumbo hivo hivo
 
Sio Ruge tuu, wengi sana wako hivo
Ila domo kajikaza na kaongea vizuri alo wafikishia ujumbe nadhani wame upata, kawaokoa hata wasanii wa kiume siyo kila siku wasanii wa kike kina ruby ndo wafikishe ujumbe bhana

bora mkuu umejua ila kwasababu mond kahojiwa na clouds mkuu kaelewa direct dongo lao
 

Labda nikusaidie tu kwani yawezekana ukawa hujui kuwa Diamond hata afanye nini au aseme nini mbele ya hawa ' Mataita ' wawili Ruge na Fela hapindui hata 'chembe ' na hawa ndiyo kwa 100% wapo nyuma ya mafanikio yote ya Nasib Abdul a.k.a Diamond. Na Clouds fm na tv ndizo zimemsaidia mno kama siyo sana kuwepo hapo alipo kimuziki na kujulikana kwa kiasi kikubwa.
 
Utumwa ni mabaya sana ...' Time ya mondi kuwakomboa wenzake chini ya unyonyaji huu... 'Hakuna utumwa mbaya kama wa kutokujitambua huko utumwani....' Wachane broo
 
Utumwa ni mabaya sana ...' Time ya mondi kuwakomboa wenzake chini ya unyonyaji huu... 'Hakuna utumwa mbaya kama wa kutokujitambua huko utumwani....' Wachane broo


sio utumwa mkuu mkubwa always ni mkubwa diamond anatoa zaidi ya heshima kwa fella na rugge kenye inshu ya kumtangazia mziki wake and hakuna wa kupinga media gani now tanzania inasikilizwa na kuangaliwa sana na vijana lazima utasema clouds tv and fm, pia contribution ya fella pale wcb ni kubwa sana ndo anayeleta wasanii kusajiliwa na record label(WCB) basi tuseme na davido naye ananyonywa na sony una mda gani hujasikia ngoma mpya ya davido..?
 
Hahahaha
Kweli kila aliye wahi fanya hivo ana husika
*ila nimependa kuwa lita mfikia Ruge ki urahisi zaidi


kwakweli ila hakuna wa kubisha ukikosa airtime clouds kama ni msanii unaye chipukia utapata tabu sana nyimbo mpya ya rubi haina kik kwann..? je angekuwepo clouds ingekosa kik..? clouds media sio watu wa mchezo mchezo
 
kwakweli ila hakuna wa kubisha ukikosa airtime clouds kama ni msanii unaye chipukia utapata tabu sana nyimbo mpya ya rubi haina kik kwann..? je angekuwepo clouds ingekosa kik..? clouds media sio watu wa mchezo mchezo
Wana wanyonya sana wa wasani asee hao cloudz
Ruby mi huwa namskia Efm na EA radio , pi si mskilizaji sana wa Cloudz kwa kweli
 
Wana wanyonya sana wa wasani asee hao cloudz
Ruby mi huwa namksoa Efm na EA radio , pi si mskilizaji sana wa Cloudz kwa kweli


kajiona star sana mwache aende wakina barnaba hawanyonywi mbon hawalalamiki pia anajiona sana beyonce anataka kulipwa hela anayotaka yeye wana kibao pale tht wananichana anadharau mno
 
Acha uwongo wako we jamaa rais mstaafu wa awamu ya 4 ndiyo kamfikisha Diamond hapo alipo + juhudi za diamond hao ulio wataja ni washika mikia!
 
Acha uwongo wako we jamaa rais mstaafu wa awamu ya 4 ndiyo kamfikisha Diamond hapo alipo + juhudi za diamond hao ulio wataja ni washika mikia!

Mliokuja Dar kwa Treni na Magari ya Mizigo mna taabu sana na mkishafika mjini mnajifanya nyie sasa ndiyo mnayajua mambo. Kwa wanaojua nani yupo nyuma ya Diamond 100% wakiona huo ' upuuzi ' wako uliouandika hapo wanabaki tu kucheka kwa ' dharaaaaaaaaauuuuuuuuuu '.
 
Kajibu vizuri sana karusha jiwe gizani atakayegumia ujue limempata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…