wewe unasikiliza clouds 24\7 kisha unataka uisikie nyimbo ya rubykwakweli ila hakuna wa kubisha ukikosa airtime clouds kama ni msanii unaye chipukia utapata tabu sana nyimbo mpya ya rubi haina kik kwann..? je angekuwepo clouds ingekosa kik..? clouds media sio watu wa mchezo mchezo
Davido anatoa Albam leo.. Inaitwa Son of nini sijui.sio utumwa mkuu mkubwa always ni mkubwa diamond anatoa zaidi ya heshima kwa fella na rugge kenye inshu ya kumtangazia mziki wake and hakuna wa kupinga media gani now tanzania inasikilizwa na kuangaliwa sana na vijana lazima utasema clouds tv and fm, pia contribution ya fella pale wcb ni kubwa sana ndo anayeleta wasanii kusajiliwa na record label(WCB) basi tuseme na davido naye ananyonywa na sony una mda gani hujasikia ngoma mpya ya davido..?
Son of BitchDavido anatoa Albam leo.. Inaitwa Son of nini sijui.
Davido anatoa Albam leo.. Inaitwa Son of nini sijui.
wewe unasikiliza clouds 24\7 kisha unataka uisikie nyimbo ya ruby
halafu unakimbilia huku ruby hana kiki
watu wengine wa hovyo hovyo sana
Mbona unaongea kama Ruge mwenyewe!!?kajiona star sana mwache aende wakina barnaba hawanyonywi mbon hawalalamiki pia anajiona sana beyonce anataka kulipwa hela anayotaka yeye wana kibao pale tht wananichana anadharau mno
Mbona unaongea kama Ruge mwenyewe!!?
Kwa kuwatetea wanyonyaji hapo siwezi bishana na wewe, Barnaba mwenye pale alipo hakustahili kuwa hapo tuu, bonge ya msanii lakin ndo bas tena.
Ha ha ha haaaaa... Astaghfilulah..!!Son of Bitch
UPO NAIROBI LOEL NIKUAGIZE KITU?Kenya hasa Nairobi ni nimbi za Diamond TUU. Taxi, matatu, Magari ya kukodi na social places. Salome a me ships kasi huko. Anapendwa kuliko chakula.
ngoja waaanze kumidiss sasa!!Sio Ruge tuu, wengi sana wako hivo, sema kwa alipo utolea ujumbe ni pana mfaa kubwa la majambazi Ruge
Ila domo kajikaza na kaongea vizuri alo wafikishia ujumbe nadhani wame upata, kawaokoa hata wasanii wa kiume siyo kila siku wasanii wa kike kina ruby na jide ndo wafikishe ujumbe bhana wasanii wa kiume nao wajikaze hata tu ujumbe kwa mkato mkato na mafumbo hivo hivo
kweli kabisaLabda nikusaidie tu kwani yawezekana ukawa hujui kuwa Diamond hata afanye nini au aseme nini mbele ya hawa ' Mataita ' wawili Ruge na Fela hapindui hata 'chembe ' na hawa ndiyo kwa 100% wapo nyuma ya mafanikio yote ya Nasib Abdul a.k.a Diamond. Na Clouds fm na tv ndizo zimemsaidia mno kama siyo sana kuwepo hapo alipo kimuziki na kujulikana kwa kiasi kikubwa.
Asante mkuu, watu wengi ni vipofu. Hawajui kabisa nani ana run industry ya entertainment hapa bongo.Labda nikusaidie tu kwani yawezekana ukawa hujui kuwa Diamond hata afanye nini au aseme nini mbele ya hawa ' Mataita ' wawili Ruge na Fela hapindui hata 'chembe ' na hawa ndiyo kwa 100% wapo nyuma ya mafanikio yote ya Nasib Abdul a.k.a Diamond. Na Clouds fm na tv ndizo zimemsaidia mno kama siyo sana kuwepo hapo alipo kimuziki na kujulikana kwa kiasi kikubwa.
Ooooh Miss Natafuta pole. NimesharudiUPO NAIROBI LOEL NIKUAGIZE KITU?
ok poa unapatikana wapi tubadilishane mawazo nikuunganishe na yule mtu?Ooooh Miss Natafuta pole. Nimesharudi
Hawawezi level aliyo fika domo na yeye ni brand kama clouds vile vilengoja waaanze kumidiss sasa!!
Nimebanwabanwa nikiwa na nafasi nitakujuzaok poa unapatikana wapi tubadilishane mawazo nikuunganishe na yule mtu?
ok poa unapatikana wapi tubadilishane mawazo nikuunganishe na yule mtu?
Bas ukukutana na hao wa THT waambie "hakuna utumwa mbaya kama wakujiona uko free"siwatetei ila nimeongelea upande mmoja kulingana na niliyo yasikia THT baadhi ya wasanii wanavyo mzungumzia ruby
Simba hapindui kwa clouds ng'odo!!Hawawezi level aliyo fika domo na yeye ni brand kama clouds vile vile
Wote wana tegemeana
Bas wange mzungusha fiesta zoteSimba hapindui kwa clouds ng'odo!!
Wakimtaka wanampata anytime!
Huoni alivyo mjanja fiesta imeanza kaenda rekodi na neyo!!Bas wange mzungusha fiesta zote
Ujue naamini wana nguvu sana na wangependa domo hata kesho ashuke ila hawawezi kwa muda huu, wote wana tegemeana katika mazingira ya muziki
*wakati domo hawezi kuwa sumbua cloudz ila at least wao lazima waende kwa terms zake hapelekeshwi na wao wana lijua hilo.