gwa myetu JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 4,473 Reaction score 4,666 Oct 4, 2016 #81 mijitu mingine bwana eti nyumba ya diamond kuna clouds TV , hivi hii TV ilianza kabla ya channel 5 ? na startv ?
mijitu mingine bwana eti nyumba ya diamond kuna clouds TV , hivi hii TV ilianza kabla ya channel 5 ? na startv ?
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Oct 4, 2016 #82 Aisee amejibu vyema na bila kukurupuka
dawa yenu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 2,825 Reaction score 3,675 Oct 5, 2016 #83 kimange said: Mimi naona sheria iwekwe ili ruge na wenye tabia kama ya ruge... wabanwe na sheria ili wasanii wafaidi matuda ya kazi zao sio kulaliwa kimasilahi... Click to expand... Rugay ndo mtunga sheria
kimange said: Mimi naona sheria iwekwe ili ruge na wenye tabia kama ya ruge... wabanwe na sheria ili wasanii wafaidi matuda ya kazi zao sio kulaliwa kimasilahi... Click to expand... Rugay ndo mtunga sheria
kimange JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,339 Reaction score 1,298 Oct 5, 2016 #84 dawa yenu said: Rugay ndo mtunga sheria Click to expand... Hahahaha labda kwa clouds ..na sio kwa serikal hiii
dawa yenu said: Rugay ndo mtunga sheria Click to expand... Hahahaha labda kwa clouds ..na sio kwa serikal hiii