Diamond awapiku P-Square on Youtube

Diamond awapiku P-Square on Youtube

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania.

Mmiliki wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo' Diamond Platnumz ameipiku video ya wakali wa Nigeria P Square baada ya kupata views nyingi ndani ya siku nne.

Diamond ambaye video yake ‘Nitampata Wapi' iliyoweka youtube november 20 ina views 419,112, likes 3500, dislikes 400, Huku Shekin ya P-square iliyowekwa november 17 ina viewers 325,514.

ANGALIZO: Kuna watu watakuja na kusema tunashindana na P-square, hapana isipokuwa kwa nia njema tunajaribu kuonesha ni kiasi gani diamond anazidi kuukuza muziki wetu, kwamba kama wanaijeria wanaweza hata sisi sasa tunaweza,

Ahsanteni
 
Kiroho Safi hii sio kweli inategemeana na channel gani YouTube ila kiukweli Diamond ni 1/35 on Psquare he has long long way to meet their success probably 5-6yrz
 
Yeah ipo siku akiacha muziki utaskia wale waliokuwa wanampinga wanakubali eti diamond alikuwa mkali cjui wanasubiria nn kumkibali sahizi
#wcb
 
Kwani alikuwa anashindana naye hadi mseme amempiku!
P Square anakimbia mbio zake mwenyewe, hashindani na mtu.
Profesa!
 
Yeah ipo siku akiacha muziki utaskia wale waliokuwa wanampinga wanakubali eti diamond alikuwa mkali cjui wanasubiria nn kumkibali sahizi
#wcb
Te!te!
Kama redio zetu za kibongo mpaka masanii afe ndio wanapiga nyimbo zake.
 
Back
Top Bottom