Diamond awatolea mapovu wanaomsakama Zari

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
DIAMOND AWATOLEA MAPOVU WANAOMPONDA ZARI. . By diamondplatnumz - Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe apate faraja!...sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia... Pambaneni na Mahusiano yenu...! Nina siku 5 za kumpetipeti... leo ndio kwanza Ya kwanza


Updates
Mdogo wake zari nae katoa ya moyoni.
 
Vichupi kunuka? Hao si ndo fans wake kutwa kununua Karanga, pafyumu, na show zake?

Lijamaa limelewa sifa asee!
Hebu fans wake mgomeeni Kazi zake huyu boya arudi tandale akauze mitumba na mama ake...mxiuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao vichupi kunuka si ndo kama weweee, au unafikir wamelengwa kina nan zaid yako wewe kichupi kunuka na vichupi kunuka wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…