Diamond awaumbua team Wema

Kwa ndomo kaoza anaweza jitahid, ila ndomo sasa sidhan kama anamfagilia wema kihivyo maana rommy jones ndo kafanya mambo had wema kurudiwa baada ya madame kulia lia na kumuaid rommy kumnunulia gar kama ndomo akimrudia inshort romy ndo kamuokoa wema

Diamond hampendi Wema basi tu
 
ujinga mtupu...
Asante Mungu kwa kunipa akili ya kuchambua vitu kwa umakini
 

Sasa mbona juzi kwenye onyesho la london wakati diamond anaperform kuna mdada alimfata diamond akampa shati lake yule dada akakataa akamwambia diamond anamtaka yy sio shati shati akampe wema amfulie, diamond akawa anamvulia cheni za gold akamwambia achukue cheni dada akamjibu gold anazonyingi anavaa nyingine kama shanga, diamond akamwambia yy yuko na wema na anampenda sana kama hata kama akiachana naye lazima atamrudia alivyokolea, akamwambia yule dada kama anampenda sana ampige picha awe anaivaa au anatembea nayo kwenye wallet yake, na watu kibao waliokuwa kwenye show karibu ya stage wamesikia...
Kwa maelezo zaidi na picha ya tukio check blog ya mbuta nanga aka florah bahati lyimo
 

Aaah aah binamu, pale ni hadharani kwenye kadamnasi, na diamond sio chizi kiasi hicho mpaka afanye mambo bila kufikiria, unategemea angesema hadharan kuwa anampenda yule binti?? Diamond sio chiz

Wema anampenda sana diamond kwa kweli, i can see this , ila kwa ndomo sidhan if he has true love for her, wema sasa iv ana amani na hii relationship, ila diamond bado ni tatizo, wema anavumilia mengi sana kwa ndomo, kama yasingekuwa mapenzi ya dhati ya wema, sidhani kama angeendelea kumvumilia, watu wanayaona maisha yao kwenye instagram tu wanacheka na kula bata ila nyuma ni vilio, ila hakuna mahusiano rahis duniani, if they meant to be together na wema akivumilia had mwisho wataweza, wema anavumilia mengi sana maskini, ame fall in love na mwanaume ambaye sio sahihi kwake, hayo ni maoni yangu tu nothing more
 
Kwa ndomo kaoza anaweza jitahid, ila ndomo sasa sidhan kama anamfagilia wema kihivyo maana rommy jones ndo kafanya mambo had wema kurudiwa baada ya madame kulia lia na kumuaid rommy kumnunulia gar kama ndomo akimrudia inshort romy ndo kamuokoa wema

ikiwa anampenda ukweli ukweli anaweza kuishi nae, tatiza la wema haonyeshi kuwa kakua kiakili, maana yeye anapenda sherehe kila leo...
 
Hawa mashabiki na wenyewe sijui wapoje, sasa walienda kwenye show ya ndomo au walienda kutambulishwa wema, kwani hawamjui au ndo ushabiki maandaz, bora alivyowachuniaa maana akiwaendekeza watampangia had siku za kugongana na wema


hahahahahah na kweli nimefurahi Diamond alivyowachunia ametumia HEKIMA hapo lol!!
 
Wamekubaliana kwa kuwa wanapendana sana
,hakuna mtu anaeombewa mapenzi wameridhiana tuwaombee ktk mapenzi yao hata wao wametambua kama wanapendana na ndio maana mapenzi yao yapo hot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…