Diamond azidi kupasua anga. Tazama alichosema mrembo aliyeimba "Do me" na P-SQUARE

Diamond azidi kupasua anga. Tazama alichosema mrembo aliyeimba "Do me" na P-SQUARE

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Baada ya kutua Nigeria Diamond amedakwa na kufanya Collabo na Mwimbaji wa Kike Anayejulikana kwa Jina la WAJE Ambae inasemakana ndio Mwenye Mafanikio Makubwa nchini humo kimuziki kwa Waimbaji wa Kike.....Kama haitoshi Mwimbaji huyu baada ya kufanya kazi na Diamond Studio Moja Ametoa ya Moyoni na Kumsifu kuwa Diamond ni kijana mwenye nidhamu kubwa ya Kazi yake.

Hii ndio Message aliyo andika Waje

"Met this amazing brother yesterday, humble nd such an inspiration,his work ethic is super. #africanlegendsmakingmusic diamondplatnumz the talent eh. Thanks so much for this honour," ameandika Waje kwenye Instagram.
 
Utakuta ashakazwaa na yeye chezeaa domoo
 
Kila la kheri Diamond.....ndio dalili za kutamba kimataifa zaidi.....
 
Back
Top Bottom