Diamond azidi kupeta awaachia manyoya wapinzani wake

Diamond azidi kupeta awaachia manyoya wapinzani wake

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Zifuatazo ni takwimu za diamond platnumz katika mtandao wa instagram.

Takwimu zinaonesha tangu August 16 mpaka leo September 9 ,diamond platnums alijipatia idadi ya followers kama ifuatavyo.

8652+10249+8569+8680+8995+9330+8737+8147+8248+7761+7784+8159+8886+8092+7803+8098+9295+9053+8603+8548+7488+7814+7427+8166+7605=210189

Ukichukua idadi gawanya kwa siku hizo 25 (210189÷25)=8408 followers per day.

Tukichukua hii 8408 followers per day tukizidisha na 30 tunapata followers 252240 kwa mwezi.

Tukichukua idadi ya followers kwa mwezi tukizidisha kwa nne tunapata followers milioni moja na elfu nane mia tisa na sitini (1,008,960).

Leo ni mwezi wa tisa inamaana mpaka mwaka uishe bado miezi mitatu.

Sasa tukichukua 3 tukizidisha na ile idadi ya followers kwa mwezi i.e (252240×3)=756720 followers.

Mpaka wakati huu diamond ana followers 7702588 tukijumlisha na tukijumlisha na idadi kwa miezi hii mitatu iliyobakia tutapata followers milioni nane laki nne mia nne hamsini na tisa elfu na mia tatu na nane (8,459,308).

Kwa hiyo mpaka mwaka huu utakapoisha diamond platnums atakuwa na followers wasiopungua milioni 8 na laki 4.


Takwimu nyingine ni kama zifuatavyo .

20190909_170606.jpeg
20190909_170644.jpeg
20190909_170718.jpeg
 
Instagram was down leo aiseee nadhani social media celebrity walikaribia kujiuwa
 
Diamond platnumz anatumia jina la chibu dangote insta?
Nimekuja Leo mjini mapovu mnipe masafi.
 
Diamond ameshafikisha followers milioni nane na laki nne. 8.4M
 
Back
Top Bottom