Diamond azidi kuwatesa hawa Watoto wa Juzi

Diamond azidi kuwatesa hawa Watoto wa Juzi

mludego

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,597
Reaction score
3,565
Utaratibu wangu huwa Mara chacha huenda Misa kila ifikapo Noeli na huu utaratibu nimelithi toka enzi wazazi wakiishi Kigalathia.

Leo mapema nikijiaanda kwenda huko kupunguza dhambi na kuomba thawabu achilia mbali huu mning'inio ulioanza tokea juzi maana pia in dawa ya usingizi miongoni mwetu.......hatua chache huku nasukuma chombo changu cha usafiri starlet T 104 AAP niliuziwa na Kiduku Lilo na hili foleni Mara chombo ikazima kucheki wese kwa pocket Nina lufu mbili bati sina ATM na hats a/c za simu ziko na empty cash.....

Duuh ujanja hakuna ghafla nikawa nasoma tuu reception za maraia juu mpaka dele wakiume bado wanahangaika Ku edit suluari zao chini wakiweka zipu..... Na Mara nyingi hawainami maana hasara huweza kutokea wakati wowote .

Kwa mbali nikawa naona kuna mzee si mzee kumbe no no ka sharobalo kameiga mavazi ya diamond kwenye wimbo was jeje kweli domo anawatesa vijana
 
Mwandiko tu....unaonesha beki hazikabi kwenye kuweka zipu taiti zenu....wavulana wakike!!!
 
Back
Top Bottom