Diamond azimiwa mziki mara mbili akiwa jukwaani katika fiesta Tabora

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kitendo ambacho clouds wamemfanyia diamond(cha kumzimia mziki mara mbili akiwa stegini) sio kizuri kabisa ni cha kumgombanisha na mashabiki wake, kwani mchana wamemtumia vizuri kabisa katika mkutano wa fursa lakini usiku wakaamua kumzingua ni bora msingempa mualiko, nyie si ndo mnasema mnakuza muziki wa bongo fleva?
Alafu bila hata aibu B12 anaanza kumnanga mwenzie(diamond) eti oooh! Hatutaki utozi mara...! Nyie kama radio ya burudani wapeni wananchi wanachostahili
Dj zero na B12 hamkufunya fair mmemnyanyasa diamond mbele ya mashabiki wake kama kulikuwa hakuna maelewano mngeyamaliza behind the scene.
 
Aliyataka mwenyewe. Mi nilikuwepo pale. Alianza kuleta nyodo na kususa stejini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…