Diamond azungumza kuhusu tetesi za kumsaliti Zari

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Diamond platnumz amesema kuwa yupo anajichanganya na wanawake wengi sana, anawindwa sana na wanawake na yeye akiamua kuwinda hakosi yoyote
Na pia amejifananisha yeye na simba na wanawake ni swala na kusema Simba akipita kwenye kundi la swala haachi kula angalau mmoja
 
mbona hiyo clip na ufafanuzi uliotoa vinatofautiana?...
''Nikiwinda siwezi kukosa''
''There is no way Simba anaweza akapita kwenye zizi la swala asile hata swala mmoja watu watasema tu alikula hata kama hakula''.....
 
Kiswahili kigumu kimemshinda, sababu hakijui.
 
Alicho ongea Diamond sicho unachotaka kutuaminisha ,hivi vitu waachieni wenye magazeti yao ya udaku
Humu Jf utaumbuka bure
 
Back
Top Bottom