Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
mbona hiyo clip na ufafanuzi uliotoa vinatofautiana?...Diamond platnumz amesema kuwa yupo anajichanganya na wanawake wengi sana, anawindwa sana na wanawake na yeye akiamua kuwinda hakosi yoyote
Na pia amejifananisha yeye na simba na wanawake ni swala na kusema Simba akipita kwenye kundi la swala haachi kula angalau mmoja
mbona hiyo clip na ufafanuzi uliotoa vinatofautiana?...
''Nikiwinda siwezi kukosa''
''There is no way Simba anaweza akapita kwenye zizi la swala asile hata swala mmoja watu watasema tu alikula hata kama hakula''.....
Ha ha ha ha sio ki kibakiba hahahahImeletwa kibavicha bavicha.