Duh............hii ishu nimeisikia jana...na leo alfajiri nikasikia tbc wanacheza ule wimbo wa enzi hizo wa mzee Zahir Ally....
......"nimekubali yanayosemwa na watu.....ni kweli.....wanaopendwa na watu siku zote...hufa wangali vijana"....
Eeee Mungu naomba haya yabakie kwenye muziki..............
Dah umeandika kwa hisia dadangu...natumaini Mungu amesikia sala zako,ila atafanya kinachompendeza yeye na kwa wakati umpendezao..
This is sooo touching.
Ila ni vizuri tukiwa tunakumbuka kua dunia hii siyo yetu tunapita tu,na hatujui kama kesho tutaiona au kuimaliza salama,lakini ni vyema zaidi tukiwa tayari kwa hilo kwa kufuata njia impendezayo Mungu.
Kwahiyo usijali dimondo Mungu anafanya linalompendeza tena kwa wakati umpendezao.
Na swali lako kua kawa watu watasikitika ndio watasikitika sana na watakuimbia wataprint matishirt yenye picha yako lakini wataendelea kufanya yao,na kua kama hawatamkimbia mama yako,hapo ndo napata wasiwas maana watu wapo kimaslahi zaidi na mtu akifa huondokaga na mali zake,hivyo unaweza kumsaidia mama si kwa kumnunulia mikufu ya dhahabu kila style but kumtafutia kitu kitakachomsaidia sana hata pale utakapokua haupo..ni hayo tuuu
Ninachowapendea wabongo wamesoma tu heading na kuanza kucoment povu zao
hata wimbo wenyewe hawajskiliza kimeimbwa nn mule
wimbo wenyewe upo toka mwaka jana na umevuja tu ..diamond hajautoa mwenyewe
Elvis presley mkuu!! Point of correction tuWalikuwako kina Bob Maley, Michael Jackson, Whitney, Elvis Plasley, John Lennon, Jimmy Hendrix
Mbaraka Mwishehe, Dr Remmy, Franco Lwambo Makiadi, Madilu System, Tx Moshi William, Pepe Kale, Mtoto Wa Dandu
wote hao wametangulia mbele ya haki na maisha yataendelea, na yeye ikifika siku ya mwisho atakufa tutasikitika mwisho
wa siku maisha yanaendelea
Elvis presley mkuu!! Point of correction tu
Walikuwako kina Bob Maley,