Diamond azungumzia picha ya Zari akipigwa denda na dume jingine

Tumuombee Wema aweze kumuokoa kijana wetu Kwa huyo bibi wa kiganda maana dogo kawa zezeta kabisa sijui anapewa na 0713....
 
Wameipost maksudi tuu ....
Wenyewe wanaita kick tutegemee Naseeb akiachia wimbo
 
Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea.

Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?
Picha ya zaman sana hii kabla ya simba
 
Hahaha umenikumbusha rafka angu mmija mwembaaambaa uyo af anapenda hao mabaunsa tukawa tunamuuliza mama shughulini utaweza kumbeba
teh mi atleast wazuri naona.ni.wale wanafanya tu mazoezi anakua na.mwili wa.mazoezi ila wanyanyua vyuma unakuta juu mkubwa chini.mdogo yupo.kama mnazi hapana asee
 
teh mi atleast wazuri naona.ni.wale wanafanya tu mazoezi anakua na.mwili wa.mazoezi ila wanyanyua vyuma unakuta juu mkubwa chini.mdogo yupo.kama mnazi hapana asee
Shape ya funguo mchezo hahahha
 
Bongo muvi ili CD ikamilike lazima waende kitandani
 
Mapenzi uchafu. kwangu mimi huyo mwanamke sirudiani nae tena ndo kwa heri.
 
Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea.

Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?
tunaanza kujua kati ya Diamond na Dimpoz nani anapumuliwa sasa!napita tu
 
Huu mchezo hauhitaji hasira [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…