Diamond big up kaka, kaza buti

Diamond big up kaka, kaza buti

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
1,348
Reaction score
1,805
P-Square kwa pamoja wana utajiri wa N22 billion ambazo ni sawa USD $110 million vijana hawa wawili wenye stashada ya Business Administration katika chuo cha Abuja nchini Nigeria.

P-Square hawakukurupuka kufanya collaboration na Diamond walijua Diamond ni bidhaa na Brand Bora ya Buradani Africa ambayo itawazidishia radha nzuri ya music na pasipo hiana Diamond Kama Iniesta kafanya kama walivyohitaji wao.

Mhubiri 3 Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. 5 Wakati wa kutupa mawe, na wakati wa kukusanya mawe; Wakati wa kukumbatia, na wakati wa kutokumbatia;

Huu ni wakati wa Diamond platinum wa kukusanya na kukumbatia sababu kwa sasa yeye ni kila kitu katika music wa Tanzania ,Diamond ni maarufu Dunian kuliko Hamisi Andrea Kigwangalla na Makondakta

Napenda HipHop ila namsikiliza Diamond kwa jicho la haki na kumtizama kwa macho ya haki popote ulipo kazi yako imetukuka na ni ya kiwango cha hali ya juu am so proud of you and yo deserve the best tumia vyema jina lako wakati ukuta. Hate leaves ugly scars, love leaves beautiful ones.#DiamondsAreForever.
 
Anawania tuzo mbali mbali

Mkae mkao wa kuvoti jamani tupaishe nchi yetu... Suni ma link yatakuja kuwapa urahisi muingie kunonyeza hadi mchoke..
 
Nimefurahia kusoma..kachozi kakalenga kwa kweli. Tunakupenda Diamond Platnumz...bado nataka kuja kukusubiri nje ya geti hadi niingie kutalii kwako nione sinki la gold. Busu busu pokea kijana
Ahahaaaaaaa...
Mzurimie katika UBORA wako...
 
Na kadri wanavyomchukia,na yeye anazidi kuwaumiza. Chezea DIAMOND PLATNUMZ wewe.
 
Hivi wewe ni ADAM au EVA..!?
au uko kwenye kundi la wale wanaopigwa VITA na Paulo Makonda..!?
Samahani lakini...
Nahitaji kufahamu tu..!!!
Unadhani mi ni mwanaume wa dar kama kuanzia asubuh mpaka jioni mnajadili maisha ya watu ndo maana makonda anawatafuta
 
Back
Top Bottom