Diamond big up kaka, kaza buti

DIAMOND PLATNUMZ kiki zake ni za mafanikio sio za kujivamia/kujiibia kama hapa naona keshafanya yake kwa Tidal ya J Z.
 
Level za DIAMOND PLATNUMZ kwa sasa sio za kusubiria huruma za mapromota wa TZ,ila popote anaweza kupiga shows, leo yupo hapa.
 
ha ha ha ha ha eti diamond anajulikana worldwide
 
DIAMOND PLATNUMZ kiki zake ni za mafanikio sio za kujivamia/kujiibia kama hapa naona keshafanya yake kwa Tidal ya J Z.
Hii kujiibia /kujivamia imekaaje hii mkuu
 
Unadhani mi ni mwanaume wa dar kama kuanzia asubuh mpaka jioni mnajadili maisha ya watu ndo maana makonda anawatafuta
Acha ukilazaa
Wewe humu unatafuta nini
 
Jamaa yuko vzt ametutoa kimasomaso wana Tanzania hongera zake
 
Hii sio Darlive wala Mlimani city, hii ni huko duniani. Mutabaki hivo hivo ooooh kibakuli anajua kiumba,ukiulizwa kwani Bibi Kidude alikua anafanya nini.... unabaki kututolea mijicho tu.
 
Kwani single si ilikuwa ya kwake ndio akawashirikisha P-square na sio ya P-square kumshirikisha diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…