Diamond: Bora nife kuliko kumrudia Wema

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz' amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam' kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena.

Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao wamekuwa na mapenzi ya vipindi, kuna wakati waliwahi kumwagana kisha kurudiana na hakuna aliyewahi kutoa tamko zito lakini safari hii Diamond amesema ndiyo basi tena!

TUJIUNGE NA CHANZO:

Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na staa huyo, mara kwa mara Diamond amekuwa akijiwekea nadhiri ndani ya moyo wake na kusisitiza kwamba pamoja na kuwa maisha ya sasa huendeshwa kwa msingi wa fedha lakini hata kama ‘atafulia' kiasi gani, ni bora afe maskini kuliko kurudiana na Wema.

"Diamond amekuwa akisema kila wakati kwa msisitizo kuwa kutokana na matatizo aliyokumbana nayo katika uhusiano wake kwa Wema, ni vigumu sana kurudiana naye wala kuwaza kama ipo siku anaweza kuwa naye, maana hakuna tena jambo geni asilolijua kwake," kilisema chanzo hicho na kufunguka zaidi:

"Kama hiyo haitoshi, Diamond anasema anaposema haoni kitu kipya kwa Wema anamaanisha ndiyo maana utaona leo hakuna hata siku moja ambayo amewahi kuwaza kurudiana naye hata kama atatumia ushawishi wa fedha kwa kumpelekea makontena ya fedha, hawezi kukubali anasema bora afe maskini kuliko kushea kitanda kimoja na Wema."

DIAMOND ATHIBITISHA

Baada ya madai hayo, Jumamosi lilifanya jitihada za kukutana na Diamond uso kwa uso ambaye alithibitisha taarifa ambazo zilielezwa na mtu wake wa karibu:

"Umeambiwa na nani hayo? Sipendi kuongelea sana hivi vitu lakini huo uliousikia ndiyo ukweli. Kwa sasa nawaza maisha yangu na mpenzi wangu Zari baada ya kupitia majaribu mengi kimapenzi enzi hizo.

"Huenda wengi wasiamini ninayosema lakini nafsi yangu haijawahi kuniongoza kukumbuka ya nyuma tena kama ilivyowahi kutokea awali.

"Wengi wamekuwa wakiniuliza swali kama hili lakini sikupenda kujibu kwa kuwa nilihisi litaleta tafrani kwa mashabiki wangu, sioni sababu ya kuendelea kuulizwa kwenye media hivyo ukweli ni kwamba siwezi kurudi nyuma tena," alisema Diamond.

ASISITIZA KWA KUREKODI WIMBO

Kuonesha kweli amedhamiria kutogeuka nyuma, Diamond alisema kwa sasa yuko bize studio kurekodi wimbo na Nay wa Mitego (Emmanuel Elibariki) ambao utakuwa umesheheni majibu ya maswali yote ya kila kitu ambacho kilimkera kwenye uhusiano wake na Wema.

"Naomba mashabiki wangu wawe na subira kwa maswali hayo yote, majibu yake yatapatikana katika project yangu na Nay inayokuja muda si mrefu," alisema Diamond.

WEMA AJIBU MASHAMBULIZI

Alipotafutwa Wema kuhusiana na kauli hiyo ya Diamond, naye alijibu mashambulizi kwa kusema kamwe hawezi kurudiana na Diamond, hamfai hata kidogo na hata akimshawishi na fedha nyingi kiasi gani hawezi kurudi nyuma.

"Hata aje na Bill Gates (tajiri mkubwa duniani), aje na matajiri wote anaowajua yeye duniani kamwe siwezi kulamba matapishi, kwanza sitaki kukumbuka kabisa kuhusu huyo mtu, please naomba nisimuongelee kabisa huyo mtu," alibwatuka Wema.
 

Attachments

  • 1429165611726.jpg
    60.1 KB · Views: 3,086
Labda amfanye Mchepuko tu,
 
Baba ubaya vibaya hvyo ujue? Mi roho inaniuma tu jinsi ulivyommanua mtoto wa watu mpaka sasa ivi mnato hana

Hahaha binamu mnato upo mana ile kitu huwa inajirudi pia kuna dawa ya kuganya iwe na mnato
 
Wema hapo kasema kwa kutomaanisha warumi nasikia wema ana mimba😆😆
 
Last edited by a moderator:
Baba ubaya vibaya hvyo ujue? Mi roho inaniuma tu jinsi ulivyommanua mtoto wa watu mpaka sasa ivi mnato hana

Aah,! Hapa unamwonea bure, baba kijacho alikuta spring zote zimekatika na wala meter haisomi kabisa.
sku iz bibie ana mnato wa china nasikia centigrade mpaka 100 ukitumia.Ila mikansa nje nje
 
Hawa wanaume wanaovalia suruali chini ya matak.o ni shida sana.....

Kiki mavi zake zinachooooooooosha
 
Aah,! Hapa unamwonea bure, baba kijacho alikuta spring zote zimekatika na wala meter haisomi kabisa.
sku iz bibie ana mnato wa china nasikia centigrade mpaka 100 ukitumia.Ila mikansa nje nje

Hhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hii ni kama movie tu ipo siku itajirewind afu tutaanza mwanzoooo kuhojiana,kidogooo dimondi naeza mpa asilimia furani za uaminifu ila wa.nje.ra. mmmhhhh nawasiwasi
 
Wema hapo kasema kwa kutomaanisha warumi nasikia wema ana mimba😆😆

Anajisafisha tu, nimeona wameandika kwenye magazeti, labda ana mimba kama ya zari
 
Last edited by a moderator:
Huyu dai huyu si alizikaga mbuzi mzima mzima kipindi kile ili arudiwe?-source Mama Wanjera a.k.a Nyaturuline.
Huyu Wema naye, chefuuu!, eti hata aje na Bill Gates? Kwa hadhi gani?:what:

Kajibu tu kwa kuwa diamond kamwaga mboga yeye kaamua kumwaga ugali, bil gates wa nini wakat ata bure anagongwa
 
Aah,! Hapa unamwonea bure, baba kijacho alikuta spring zote zimekatika na wala meter haisomi kabisa.
sku iz bibie ana mnato wa china nasikia centigrade mpaka 100 ukitumia.Ila mikansa nje nje

Mmh, ila ndomo ndo kamchakaza kwa kweli, maana walikuwa wanajifungia ndani kutwa nzima hawatoki leo unaambiwa hakurudii labda afe, apo lazima ujinyonge Heaven on Earth pole sana naona shoga yako hatakiwi tena, chezeya mtoto zari, ngozi laiiniiii, wala haitaji kutumia KY kama mama ubaya
 
Last edited by a moderator:
Kajibu tu kwa kuwa diamond kamwaga mboga yeye kaamua kumwaga ugali, bil gates wa nini wakat ata bure anagongwa
Ili swala la kugongwa bureee ili nalisikia sana na kuhongwa laki laki sitakagi amini kama anaeza fanya hizo mambo izo....
 
Hawa wanaume wanaovalia suruali chini ya matak.o ni shida sana.....

Kiki mavi zake zinachooooooooosha

Wema nae kabisa alitegemea kuolewa na diamond? Mtu mwenyewe golikipa kila kitu anataka kununuliwa mpaka bikini, nfyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…