Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Chezea Dai weyeeeeee hutak lazima unye boga
Wapwa majuzi wacha wafurahi kusikia ngoma ya Mwana-Dar es salaam imepigwa BBA!!!Dj wa leo mbongo,naona kapiga wimbo wa Ali kiba mwanadarasala watu kama wameboreka fulani mziki hauchezeki.Idris ndio yuko busy anajichezea huo wimbo.
Acheni upumbavu nyie ali kiba ni mashine sio tu mnaongea utumbo
Dj wa leo mbongo,naona kapiga wimbo wa Ali kiba mwanadarasala watu kama wameboreka fulani mziki hauchezeki.Idris ndio yuko busy anajichezea huo wimbo.