Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Msanii Diamond Platinumz amewapiga dongo Clauds media kwa kile alichokiita " Taratiibu Wameanza kushika adabu yao".
"Mambo Yamekuwa Magumu hadi imebidi waombe poo na kuomba msaada kwa mlezi wetu(Paul Makonda)..
Najiuliza tu....Leo kawa sio Mvamizi tena???"
"Adabu imewakaa sasa, wanaanza kuwaheshimu na kuwakumbatia wasanii...
Hata wale walosema hawauzi sasa wanawaona wanathamani...
Eti hadi kucheza nao kikapu Manina!...
Na hii ndio Maana halisi ya Mapinduzi ya Burudani!! yani Tuheshimiane"
"Haya sasa wasanii kazi ni kwenu kuhakikisha una msimamo na hata unapotakiwa unataja dau litalowezesha kusaidia familia yako kesho na kesho kutwa...
sio tena kujipeleka halafu kesho kuleta malalamiko eti ooh umenyonywa! utakuwa ni ujinga wako..
sie tushaanza kumaliza kazi!! "
Source: