Diamond: Clouds wameanza kushika adabu sasa.

You said it all.... Uwa ninashangaa kwanini lawama watupiwe clouds wakati kuna medias kibao sijui hizo medias nyingine kazi zao ni nini....
Yani utaskia sijui clouds haipigi nyimbo za msanii gani unakuta huyo msanii hata kwnigne walisha msahau. Sijui clouds imempoteza Suma G unakuta anaye lalamika ukimwambia akutajie playlist ya ntimbo zake 100 huyo Suma G hata wimbo wake mmoja hauweki
 
WCB acheni kulialia..mnashindwa hata na mwanamke JIDE..sijawahi kumsikia akilalamika nyimbo zake hazipigwi CMG..acheni ufala(beneficial voice)
 
It's matter of time before wasafi start to exploit artists just like clouds fm did for years

If you dont believe me!

Just wait and see
But the only relief is that

There will be 2 exploiters

Who will be forced to be a little more flexible in negotiation to ward off competition
 
Kijana anatakiwa ...kuo na muongoza....hii vita anatakiwa awachape kimya kimya... bila maneno.....full vitendo lkn pia awaheshimu hao jamaa wa clauds ndio waliomfikisha hapo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…