Watu wa dar bhana mnachekesha sana
Post sent using JamiiForums mobile app
Yukowapi mkuu weka kapicha namm nmjue ili nichangie kanunu
utukumbuke na sisi, kumbuka mkeo na wana umetuacha na dhikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Sasa ameanza kuharibu nini mbona unakuwa na majungu tena.Huyu Dada ni miongoni mwa watu walioshiriki kuimba nyimbo ambazo zilipelekea wewe kusikika na hatimaye kufika hapa ulipo ( ingawa umeanza kuharibu ) hivyo msaidie usijafanye kama haujamsikia.
Ameomba msaada asaidiwe hivyo nipenda kuona kuwa wewe unakuwa mstari Wa mbele katika hili
nawasilisha
Sasa ameanza kuharibu nini mbona unakuwa na majungu tena.
Post sent using JamiiForums mobile app