Muimbaji wa kundi la Rock la U2 na mwanzilishi wa One Campaign, Paul David Hewson maarufu kama Bono amewakutanisha wasanii wa Afrika wakiwemo Diamond, Banky W, D'Banj, Omotola, Waje na wengine kutengeneza remix ya wimbo ‘Strong Girls' ambao ni sehemu ya kampeni hiyo.
D'Banj, Diamond na Banky, Mastaa hao wamekutana jana jijini Lagos, Nigeria. Katika post aliyoweka Banky W kwenye Instagram ameandika:
Lol.. how cool is it to be photo-bombed by BONO? Diamond platnumz, Waje big ups to one campaign for the "strong girl" remix project, we are all working on."
Awali wimbo Strong Girls uliimbwa na wasanii wa kike tu wakiwemo Yemi Alade, Waje, Vanessa Mdee na Victoria Kimani.