Diamond enough is enough plagiarism is not legalised

Huyo Swizzbeatz ni B class producer kama siyo C tena during his peak. Hana makubwa ya kujivunia kimuziki. His only claim to fame today labda kumuoa Alicia Keys.
certified idiot...

Mtu aliyeproduce albums na ngoma kibao za Jay Z, Chris brown, Alicia, Beyonce, Lil wayne, Nicky Minaj na wengineo ni C class producer!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why always him kuanzia nyimbo aliyofanya na jamaa wa Zimbabwe sijui THE ONE na nyingine nyingi.
Yaani The One from A-Z ni sawa na "ya King Tee Dee" halafu bado unaamini Diamond kakopi na asifanye chochote pamoja na watu kum-pump!! Beat aliyotyumia jamaa imetengenezwa na Laizer, ndani kuna signature ya Wasafi but still unaamini Diamond ndie kakopi?!
 
You're right, endorsement ndo kila kitu lakini dunia ya leo huwezi kupata endorsement za maana kama hufanyi vizuri kwenye social media!! Zile Views na Instagram Followers unazoelekea kama unaziona si chochote ndizo determinants zenyewe za kupata endorsement!! Suala la eti mbona tangia apate deal la belaire hadi leo hajapata deal la maana ni hoja isiyo na mashiko kwa sababu Brands zote duniani huwa zinatoa endorsement kutokana na target market na influence ya yule wanayempa endorsement kwenye target market. Kwa mfano hao Nike uliowataja, target market yao ilikuwa Nigeria, na ndio maana walitengeneza hadi jezi za timu ya taifa ya Nigeria!! Sasa ulitarajia endorsement wampe mtu wa SA wakati wanafahamu kuna Naija Celebs wenye influence kubwa kwenye target market?

Wasanii wa Bongo inakuwa ngumu sana kupata endorsement za multinational companies kwa sababu uchumi wetu ni mdogo kuwa target market ya kampuni husika! Matokeo yake, tutaishia kupata endorsement za Franchisee companies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…