KIUNDU YAKUTI
Member
- Feb 18, 2016
- 21
- 11
Mamboz na weekend
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaume wa dar hawaishi kuwadiscuss wanaume wenzao...Wanaume wa Dar
Mazuzu wa mkoani hawaishi kuwadiscus wanaume wa darwanaume wa dar hawaishi kuwadiscuss wanaume wenzao...
Ishu ni rahisi tu hapo, mnachotakiwa ni kujibu swali linalotakiwa kujibiwa tusiwe wagumu wa fikra jamaniWanajamii forum natumai weekend inamalizika vizuri kwa sisi sote.
Najaribu kuuliza hivi tokea diamond ameweka kile kiduku kichwani ni lini ameshawahi kuonenaka amekinyoa?
Wenye uthibitisho wa reply na picha tukiziona au mwenye uhakika wowote anaweza kujibu[emoji23] [emoji1] [emoji2]