Kuna huyu mwanamuziki Budagalla Malonja, akifanya collabo na Diamond Platinum lazima ngoma iwe kali sana, huyu jamaa yuko vizuri sana, nimeweka moja ya ngoma zake;
Afanye kwanza collabo na fid q baraka da prince na wasanii wengine wa mwanza then ndo akimbilie huko kwa mondKuna huyu mwanamuziki Budagalla Malonja, akifanya collabo na Diamond Platinum lazima ngoma iwe kali sana, huyu jamaa yuko vizuri sana, nimeweka moja ya ngoma zake;