Diamond (fresh/mama) atakuwa kaguswa papaya na Alikiba (Kipusa/kito/chuma)

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Ukiona debe linalia ujue limegongwa. Ukiona kelele nyingi ujue maumivu yamekita. Zifuatazo zaweza kuwa sababu za Diamond kulazimisha collabo ya fresh kama jukwaa la Mipasho dhidi ya Alikiba:

1. Hofu ya kuzidiwa kimziki na Alikiba, hasa kufuatia Music tour nyingi za Alikiba Ulaya na America.

2. Hofu ya kiki ya nyimbo mpya ya Alikiba iliyotarajiwa kutoka wiki hii maarufu kama kipusa. Hivyo Diamond kaamua kuanzisha mipasho kuizima kiki.

3. Skendo ya karanga inayoenea mitandaoni. Hivyo Diamond anadhani kuna mkono wa Alikiba nyuma yake, hasa ukizingatia Diamond kawa muuza karanga maarufu kuliko umaarufu wa kimziki.

4. Skendo ya kukataa mtoto wake na Hamisa inamvuruga hasa ukizingatia na yeye alikataliwa na baba, hivyo jinamizi linamtuma kumshambulia yeyote anayemdhani ni kikwazo.

Hizi ndio sababu kuu. Ila mko huru kuongeza zaidi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhambi za kijinga umejipatia kwa kusema uongo. Mombasa na jicho lake, aibu tupu.
 
Joho yule gavana wa Mombasa amempa Kiba mabilioni kwenye kampeni za Kenya..Domo kasanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…