MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Diamond you are Tanzanian..,make us proud and do the most of it. Pamoja
Well done Diamond umetuwakilisha vizuri saaana.
Kuna rafiki zangu wa South Africa nimewasiliana nao leo wamemsifia sana Diamond.
Kweli nimefarijika: Diamond you make us very proud. Umeipaisha Lugha ya taifa.
Hapa naongelea bila ushabiki huu wimbo umepigwa sana leo huko South Africa.
RAI YANGU: Watanzania tuache ushabiki, Diamond kufika hapo alipo amekaza sana.
Pia, hata kama ana madhaifu yake Diamond ni mtu wa kusikiliza sana ushauri na kuheshimu watu (Moja ya nguzo kubwa ya mafanikio)
Long time no see my friend. Uko poa kabisaSasa linyimbo gani lile au ndo mahaba niuwe