Hahahaha naona unapoishia kuisubiria mm ndio naanzia hapoo kusiburia embu jumlisha sasa hzo hamNaisubiria kwa hamu
Hahaahahaha eti anakurupuka hahaha haters are haters alwaysTatizo huyu jamaa anakurupuka kufanya nyimbo na wasanii wakubwa theni anafunikwa kabisa kwenye huo wimbo kiasi kwamba unaweza kudhani sio wake mfano ni kidogo
Hahahaaa watu hawataki tu kukabali kuwa Dai anaweza, mfano halisi ni mm sikuwa nampenda hata kidogo lkn kadri ninavyoona jitihada zake nimenyoosha mikono mwenyewe. Anajituma na anajua kutumia fursa vizuri.Utasikia...
"Huyo sio mwanamuziki,huyo ni dansa"
Khaaaa we Kiba nn?Tatizo huyu jamaa anakurupuka kufanya nyimbo na wasanii wakubwa theni anafunikwa kabisa kwenye huo wimbo kiasi kwamba unaweza kudhani sio wake mfano ni kidogo
mbona mziwanda alimfunika key bar hukusema chochote..Tatizo huyu jamaa anakurupuka kufanya nyimbo na wasanii wakubwa theni anafunikwa kabisa kwenye huo wimbo kiasi kwamba unaweza kudhani sio wake mfano ni kidogo