Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo mkali sana, kampoteza kabisa diamond kwenye Tetema. Mule diamond kafirigiswa mbaya.Diamond platnumz na ray van wakifanya collabo nyimbo zote huwa anafunikwa hasa kimashairi kwanzia Salome,Iyena mpaka Tetema
Karibu kibamba ccm kwenye kijiwe cha draftnimeshakula nimeshiba.. ngoja nitafute kijiwe nikae nianze kuiponda serikali..
Ntakuja mkuu.. ngoja kwanza msosi ushuke vizuri
haaaaaaaaaaaaaa umenichekeshanimeshakula nimeshiba.. ngoja nitafute kijiwe nikae nianze kuiponda serikali..
umeona eeee hatareDogo mkali sana, kampoteza kabisa diamond kwenye Tetema. Mule diamond kafirigiswa mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana ndio ukweli huoUna undugu na Alikiba mkuu?
jamaa kwenye vichupa ndio anawapotezagadomo mshkaji tu hajui lolote
mjanja mjanja tu
ila hawamuwezi
ray van nomaSawa......
So what???
sawa
haaaaaaaaaaaaaaaa mm sioweee utakua ki2ga kama sio abdukiba wewe
jamaa kwenye vichupa ndio nomaHicho kime....kime...kimempata....Amewahu?!....Kimempata.....Kapandisha mizuu!.....Achaneni na Chibe EVARA! [emoji41][emoji41]
Sent from my iPhone using JamiiForums